ha ha ha ha embu weka you hapo
Nashukuru Mwenyezi Mungu Sijafikia UPOPOMA Huo.
Huo sio upopoma, mimi binafisi nawaosha watoto wangu, I feed them and put them to bed. Lakini najua baadhi ya watu wameoa wanawake ili waje kufanyakazi za ndani. Siwalaumu.
Then You're One Of The POPOMAS Am Talking About!
Huo sio upopoma, mimi binafisi nawaosha watoto wangu, I feed them and put them to bed. Lakini najua baadhi ya watu wameoa wanawake ili waje kufanyakazi za ndani. Siwalaumu.
safii sana..sio unakua umeoa kijakaziihuo sio upopoma, mimi binafisi nawaosha watoto wangu, i feed them and put them to bed. Lakini najua baadhi ya watu wameoa wanawake ili waje kufanyakazi za ndani. Siwalaumu.
si bure umerogwahuo sio upopoma, mimi binafisi nawaosha watoto wangu, i feed them and put them to bed. Lakini najua baadhi ya watu wameoa wanawake ili waje kufanyakazi za ndani. Siwalaumu.
safii sana..sio unakua umeoa kijakazii
si bure umerogwa
sio akili yako unahitaji msaadamtu kama wewe mwenye mawazo ya kurogwa sijui kulogwa, tayari umeshanikata stimu sasa sijui utasema nini nikuelewe.