huná hoja we juha tu
huná hoja we juha tu
What a foolish fool.....1aJana ilikuwa haijaanza?mbona haiti mkutano wa wanahabari kubadili kauli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Juha lingine linakurupùka tuKUB amechanganyikiwa.
Achana nao wahuni hawa! Atafanya mkutano mwenyewe na vichaa tu, wenye akili tunatafakali na kuliweka taifa letu kwenye maombi!Ndugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Haunisumbui.Juha lingine linakurupùka tu
Ungejibu hoja kamanda acha kuweweseka unazidi kumharibia MboweHalafu mbali ya huu utoto wote ulioongea, unakuta mwili wote umejaa nywele kila mahali, lakini utoto haikuishi.
rUlitaka nisielewe, au?
Walichokufanya Cdm unajua mwenyewe. Kama mimba Hii lilichomoka omba nyingine.Jana ilikuwa haijaanza?mbona haiti mkutano wa wanahabari kubadili kauli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikutano yenyewe ni april,so muda bado upo!Kwani Mbowe hatoi tangazo la kufuta hiyo mikutano?
Muda bado, ataahirisha tuu.Jana ilikuwa haijaanza?mbona haiti mkutano wa wanahabari kubadili kauli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo?r
Vizuri kama umeelewa!
Kwani april ni mbali?mnasubiri nini?Mikutano yenyewe ni april,so muda bado upo!
Gud!Kwa hiyo?
So what?Gud!
ukweli unauma.....umeona eh comrade?
What!So what?
Inaweza kufika wakati huo na tatizo likawa limekwisha!Kama litakuwepo basi itatoka taarifa ta kusitisha,muda bado upo na sioni tatizo katika hilo!Kwani april ni mbali?mnasubiri nini?
Anaitaje press conference wakati mikusanyiko imekatazwa?Jana ilikuwa haijaanza?mbona haiti mkutano wa wanahabari kubadili kauli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejielekeza kwenye hoja kamanda acha kuweweseka unazidi kumharibia MboweWalichokufanya Cdm unajua mwenyewe. Kama mimba Hii lilichomoka omba nyingine.
Leo hii Ccm wilaya ya Ilemela wamejazana kwenye ukumbi wa Baba Paroko Buzuruga na ulinzi juu. Kingefanya chama kingine mkutano kanisani au mskitini kingeitwa ni cha kidini au kikanda !!!. Kwao ni sawa !!!.
Sent using Jamii Forums mobile app