Chadema imeonesha Udhaifu Kushindwa Kufanya mikutano bila msaada wa Chopa, nina hakika CCM haitawapa vibali wakati wa Uchaguzi!

CHADEMA kwa sasa hakukaliki wala hakuna maelewano.ni migogoro mitupu huko inayotokana na utafunaji wa pesa za chama kulikopita kiasi ,.kila mtu anamtuhumu mwenziye kuwa katafuba pesa nyingi.lawama zote zimeelekezwa kwa mwenye kigoda kuwa anatafuna Minofu yote ya chama na kuwaachia mifupa mitupu wenzake huku chama kikiendelea kudhoofika na kukondeana kila uchwao .ndio maana unaona hata akina Erythrocyte wapo kimya hawaelewi wafanye nini maana wamepigwa ganzi.

CHADEMA Ni Sacco's tu ile yenye malengo ya kuneemesha matumbo ya watu wachache na kuwafanya waliobaki kama makasuku na manyumbu.
 
Pia ni upumbavu kuingia kwenye uchaguzi kutegemea kuachiwa viti, walau hicho kisingizio Cha kibali kitawasaidia kuonekana Wana akili. Kama bila Chopa hakuna mikutano, basi tena wamesha paki, wakubaliane na Hali Yao waanze kuyaona yaliyowazi
 
Ni Udhaifu mkubwa sana kuahirisha mikutano kwa sababu tu Chopa haipo

Kwa ninavyoijua CCM watashikilia Hapo Hapo kwenye Kibali cha Chopa

Sitashangaa Chadema KUSUSIA Uchaguzi mkuu wa 2025
kwanini usiseme ccm ndio imeonyesha udhaifu kwa kuzuia kibali cha chopa?? Km wanajiamini kanini wasiache kibali kipatikane?? Serikali yenye muundo wa kukipigania chama fulani ni serikali "mfu na mufilisi".... waulize A. Kusini
 
CHADEMA kwa sasa hakukaliki wala hakuna maelewano.ni migogoro mitupu huko inayotokana na utafunaji wa pesa za chama kulikopita kiasi ,.kila mtu anamtuhumu mwenziye kuwa katafuba pesa nyingi.lawama zote zimeelekezwa kwa mwenye kigoda kuwa anatafuna Minofu yote ya chama na kuwaachia mifupa mitupu wenzake huku chama kikiendelea kudhoofika na kukondeana kila uchwao .ndio maana unaona hata akina Erythrocyte wapo kimya hawaelewi wafanye nini maana wamepigwa ganzi.

CHADEMA Ni Sacco's tu ile yenye malengo ya kuneemesha matumbo ya watu wachache na kuwafanya waliobaki kama makasuku na manyumbu.

Nani mmiliki wa KADCO?. Shughulikeni wezi acheni kujificha kwenye mgongo wa CHADEMA
 
chadema imezikwa rasmi alivyoingia kwenye siasa paul makonda ameshawwaambia hao ni kikundi cha watoa habari siyo chama cha siasa hakuna upinzani tanzania chadema wanakifua cha kupambana na makonda?
 
Mh. Mbowe Akiangalia Chopa isiyoruka.
fb_img_1684849274867-jpg.2632462

...haina uhusiano na mada
 
Ni Udhaifu mkubwa sana kuahirisha mikutano kwa sababu tu Chopa haipo

Kwa ninavyoijua CCM watashikilia Hapo Hapo kwenye Kibali cha Chopa

Sitashangaa Chadema KUSUSIA Uchaguzi mkuu wa 2025
Tangiapo. Wamesema kama hawatangazwa washindi KABLA ya Uchaguzi watasusia. Watakodisha vibaka wa Kike kufanya fujo ili uchaguxi usifanyike.
 
Hv hiyo bila chopa mwenyekit hawez fanya mikutano ni kwa mujibu wa katiba ya cdm au ni swaga za mwenyekit tu
Wameanza kutafuta njia za kususa huko mbele, ati kwasababu Hedikopta hairuki! Mmeku Ndio Swaga hiyo?😁😁😁😁 We acha tu...

....Makonda keshaenda kuwaombea vibali(inasemekana)na labda atawachangia mafuta.

.... katiba yao inaruhusu mwenyekiti wa milele, sio helikopta ya milele.
 
Ni Udhaifu mkubwa sana kuahirisha mikutano kwa sababu tu Chopa haipo

Kwa ninavyoijua CCM watashikilia Hapo Hapo kwenye Kibali cha Chopa 😂

Sitashangaa Chadema KUSUSIA Uchaguzi mkuu wa 2025
Bwashe siku hizi CCM imekuwa Mamlaka ya Anga Tanzania? Tangu lini CCM imeanza kusimamia vibali ya kuruhusu ndege/Chopra/drones kuruka angani?
 
Ni Udhaifu mkubwa sana kuahirisha mikutano kwa sababu tu Chopa haipo

Kwa ninavyoijua CCM watashikilia Hapo Hapo kwenye Kibali cha Chopa 😂

Sitashangaa Chadema KUSUSIA Uchaguzi mkuu wa 2025
kama kuna tume huru , asubuhi chadema anabeba nchi.

Nimekwambia uwe unafanya use of higher mental faculties to analyse issues. Hata kukiwa na chopa, kama hakuna tume huru, chadema haiwezi kushinda maana "samia" atakimbia na mabox ya kura
 
Back
Top Bottom