Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

Ndugu zangu,

Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.

''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Achana nao wahuni hawa! Atafanya mkutano mwenyewe na vichaa tu, wenye akili tunatafakali na kuliweka taifa letu kwenye maombi!
 
Jana ilikuwa haijaanza?mbona haiti mkutano wa wanahabari kubadili kauli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Walichokufanya Cdm unajua mwenyewe. Kama mimba Hii lilichomoka omba nyingine.

Leo hii Ccm wilaya ya Ilemela wamejazana kwenye ukumbi wa Baba Paroko Buzuruga na ulinzi juu. Kingefanya chama kingine mkutano kanisani au mskitini kingeitwa ni cha kidini au kikanda !!!. Kwao ni sawa !!!.

Ungejielekeza kwenye hoja kamanda acha kuweweseka unazidi kumharibia Mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom