Burundi waipa msaada Tanzania

Nilipoona huu uzi nilidhani ni utani, kumbe ni kweli....hadi Burundi wametufadhili?....kweli TZ ya JPM ni ya maajabu makubwa.
 
Harafu bado mkiwa majukwaani mnasema Tanzania ni nchi tajili, kama hamna akili hv
 
Mbona waumini wanatoa sadaka kwa mchungaji mpaka ananunua chopa?
 
kwani hapa kwetu hatuna mchele, wala mahindi kwanni wasitoe pesa wanatoa mazao ambayo kwetu yapo kila kona ya nchi hawajui kuwa Tanzania imebarikiwa na Mungu
kwani kenya walipotoa cement na bati sisi hatuna viwanda huku? msaada ni msaada tu. hata saudi arabia wakileta tende sisi tutapokea tu kwani kuna wanaohitaji. huwezi kumchagulia mtoa msaada cha kukupa unless uwe hauhitaji msaada
 
Saa nyingine ni aibu kusema kuwa mimi ni mtanzania, inatia kinyaa.
 
unachagua cha kusaidiwa? walioleata mabati,cement,magodoro na cingine kutoka kenya ,Uganda nani kakwambia vitu hivyo havipo Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…