mimi siyo mchumi lakini uchumi wa brazil kuupita ule wa britain ni sawa na uchumi wa china ulivyopita ule wa japan,siyo kwamba chumi za uingereza na japan zimezorota hapana ila chumi za brazil na china zimeongezeka,lakini pamoja na hayo zingatia kwamba brazil ina pop ya watu mill200 wakati britain ni mill60 tu hivyo basi per cap income ya england ni almost mara 3.5 ya ile ya brazil hivyo bado wanainchi wa brazil wana kazi kubwa kuja kufikia standard ya maisha ya england!!!!
Ubishi mwingine hauna maana. Uingereza sasa ivi ni wamechoka. Kama unaangalia per capita income basi Quatar ni tajiri kuliko USA