Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 6,121
- 6,062
Mbona majirani wanatushitukia hivi kulikoni? inawezekana tuna matatizo!!
WANA MATATIZO WAO!
Tunahitaji kujituma katika kufanya kazi na wala sio kujipendekeza kwa MANYANG'AU!
Mbona majirani wanatushitukia hivi kulikoni? inawezekana tuna matatizo!!
Matatizo kibaoMbona majirani wanatushitukia hivi kulikoni? inawezekana tuna matatizo!!
Candid Scope,
Siyo kweli hayo unayoyasema. Muingereza kwa sasa anaporomoka si kawaida. Hata huduma zao za kulisha watu bure na kuwapa nyumba sasa wameanza kuzibana. Kiuchumi ameshazidiwa na Brazil na alipotaka kujitoa EU, China na USA walimwambia hata asiote kufanya hivyo.
Kuhusu Swis, hata wao wamejiingiza kimya kimya kwenye Schengen maana walikuwa wanakosa pesa kibao. Kujiondoa kwa Rwanda, Burundi na Uganda, kutakuwa na madhara makubwa sana kwetu na hapo mtu asikudanganye. Labda na sisi tuje tujifanye kawa Waswizi kwa kujiingiza kimya kimya kwenye Schengen na Uganda, Rwanda na Burundi huko mbeleni maana itakuwa na faida kwao na sisi.
Anyway, siasa za Africa zinabadilika badilika kutokana na Rais. Kesho wakija Marais wengine, watagombana na watarudisha ndoa na Tanzania. Inabidi katiba zetu kwanza zibadilike na nchi iwe na msimamo na siyo RAIS.
Wakubaliana kuunda rasimu ya shirikisho la EAC
By James Gashumba, EANA
Arusha, Septemba 20 , 2013 (EANA)- Mkutano wa maafisa waandamizi kutoka Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi wa kuharakisha Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki umekubaliana kuanza kuandaa rasimu ya katiba ya shirikisho hilo.
Kama ilivyokuwa kwa timu ya wataalamu walioandaa Itifaki ya Soko la Pamoja, timu ya kuaada rasimu ya katiba ya shirikisho la kisiasa itajumuisha wataalamu mbalimbali kutoka nchi zote tano wananchama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
''Tumekubaliana juu ya taratibu na jinsi ya kuhakikisha kwamba ipo miongozo iliyowazi juu ya kuandaa rasimu hiyo ambayo hatimaye itafikia katika hatua ya mwisho ya kuundwa kwa shirikisho la kisiasa,'' Waziri wa Serikali za Mitaa wa Rwanda, James Musoni alisema baada ya mkutano wa mawaziri mjini Kampala mwishoni mwa wiki.
Wakuu wa nchi za Rwanda, Kenya na Uganda Juni mwaka huu walikubaliana kuongeza kasi ya kufikia lengo la shirikisho la Afrika mashariki.
JG/IM/NI
Huu ni mchezo wa Museveni,anataka kuhakikisha anakuwa Raisi wa kwanza wa Shirikisho la Afrika Mashariki na ili hili lifanikiwe lazima Tanzania iwekwe pembeni kwanzana maana ni sisi tu ndio tunaoweza kukwamisha Safari yake hiyo.
Tanzania should stand tall and be proud. Hizi nchi nne ni ndogo sana kwetu na actually they need us. Twaweza kuwatazama tuone watafika wapi lakini I believe hawatafika mbali.Hizi ndoa za mkeka zina matatizo yake, sijafahamu utafiti wa kina uliofanywa nao zaidi ya kufikiria msukumo tu wa kiitifaki kutokana na wimbi la Tanzania kujitangaza katika anga za mataifa mbalimbali duniani na kuonekana kukubalika na kuvutia viongozi mbalimbali kuitembelea.
Kuna nchi kama Uingereza, na pengine hata Uswizi hazikujihusisha kwa undani katika shirikisho la Ulaya, hata hivyo pamoja na kugomea kuingia katika sarafu ya Ulaya na kuruhusu tu mzunguko wa sarafu hiyo katika nchi, bado sijaona kuathirika na bado inaonekana kiuchumi kuendelea kutengamaa.
Kwa vile Tanzania ni mwanachama wa nchi za ushirikiano wa kiuchumi nchi za kusini mwa Afrika, sioni haja ya kuhangaika na ndo ya mkeka ya hawa Museveni, Kenyata Wanyarwanda. Tuwaache waendelee na yao, ipo siku watakapokuja kugutuka kuingia kichwakichwa ndipo wakapofahamu kwa nini Tanzania tumekuwa muhimu kwao na kwamba uzoefu katika masuala ya shirikisho baina ya nchi na nchi si kama kukaribisha jirani wakutanapo kwenye kilabu cha pombe kukaa meza moja, ni mambo mazito yanayohitaji uchambuzi, utafiti na kupima kwa kina vinginevyo ni kumnufaisha fulani ambaye ameshindwa kutupa kete kwa Mtanzania aliye makini na kuhitaji muda wa kupima na kutafakari kabla ya kuchukua hatua.
Tanzania kuna kila la kujivunia na nyota inaendelea kumulika kwani tukituliza kichwa kuna kila dalili ya kuwa taifa la viwanda tokana na utajiri wa chuma huko wilayani Ludewa, chuma ambacho pia ni moja ya nguzo kubwa katika uundwaji wa viwanda vikubwa. Vigumu kuchukua chuma kukisafirisha nje ni ghali bora kujenga viwanda nchini na hivyo kulinufaisha taifa kiuchumi. Tuwaache waendelee na ndoa ya mkeka, ipo siku watajua na kurudi wenyewe kuanzia njia za vichochoro kwa aibu kabla hawajapiga hodi mlangoni.
Hizi ndoa za mkeka zina matatizo yake, sijafahamu utafiti wa kina uliofanywa nao zaidi ya kufikiria msukumo tu wa kiitifaki kutokana na wimbi la Tanzania kujitangaza katika anga za mataifa mbalimbali duniani na kuonekana kukubalika na kuvutia viongozi mbalimbali kuitembelea.
Kuna nchi kama Uingereza, na pengine hata Uswizi hazikujihusisha kwa undani katika shirikisho la Ulaya, hata hivyo pamoja na kugomea kuingia katika sarafu ya Ulaya na kuruhusu tu mzunguko wa sarafu hiyo katika nchi, bado sijaona kuathirika na bado inaonekana kiuchumi kuendelea kutengamaa.
Kwa vile Tanzania ni mwanachama wa nchi za ushirikiano wa kiuchumi nchi za kusini mwa Afrika, sioni haja ya kuhangaika na ndo ya mkeka ya hawa Museveni, Kenyata Wanyarwanda. Tuwaache waendelee na yao, ipo siku watakapokuja kugutuka kuingia kichwakichwa ndipo wakapofahamu kwa nini Tanzania tumekuwa muhimu kwao na kwamba uzoefu katika masuala ya shirikisho baina ya nchi na nchi si kama kukaribisha jirani wakutanapo kwenye kilabu cha pombe kukaa meza moja, ni mambo mazito yanayohitaji uchambuzi, utafiti na kupima kwa kina vinginevyo ni kumnufaisha fulani ambaye ameshindwa kutupa kete kwa Mtanzania aliye makini na kuhitaji muda wa kupima na kutafakari kabla ya kuchukua hatua.
Tanzania kuna kila la kujivunia na nyota inaendelea kumulika kwani tukituliza kichwa kuna kila dalili ya kuwa taifa la viwanda tokana na utajiri wa chuma huko wilayani Ludewa, chuma ambacho pia ni moja ya nguzo kubwa katika uundwaji wa viwanda vikubwa. Vigumu kuchukua chuma kukisafirisha nje ni ghali bora kujenga viwanda nchini na hivyo kulinufaisha taifa kiuchumi. Tuwaache waendelee na ndoa ya mkeka, ipo siku watajua na kurudi wenyewe kuanzia njia za vichochoro kwa aibu kabla hawajapiga hodi mlangoni.
Ndio akili ya kitanzania hii, muda wote kuwazia uongozi tu, ubinafsi wa kijinga kabisa! uongozi wenyewe hata akipewa hawezi, sijui anachoona kibaya kipi wengine wenye uwezo wakiongoza..huku ni kufilisika kifikrana kimtazamo!karne ijayo nchi hii itarudi utumwani kwa kuwa na watu wa jinsi hii sasa, badala awaze namna ya kuharakisha kuwafikia wengine walipo, yeye anawaza kushindana na kivuli kumpinga mtu eti asiongoze!Ulichosema kinaweza kuwa ukweli..hiyo ndio akili ya kipumbavu ya watutsi walio wengi. Kwamba wao ndo wanaoweza kutawala tuu... ndio walichokifanya Uganda na Rwanda..walisaidiana wakawatoa wabaganda kwenye uongozi; walipomaliza wakaenda rwanda; sasa wapo DRC... wao wanajiona bora zaidi ya wengine na wako tayari kuuwa ili tu waweze kutawala....
Ndio akili ya kitanzania hii, muda wote kuwazia uongozi tu, ubinafsi wa kijinga kabisa! uongozi wenyewe hata akipewa hawezi, sijui anachoona kibaya kipi wengine wenye uwezo wakiongoza..huku ni kufilisika kifikrana kimtazamo!karne ijayo nchi hii itarudi utumwani kwa kuwa na watu wa jinsi hii sasa, badala awaze namna ya kuharakisha kuwafikia wengine walipo, yeye anawaza kushindana na kivuli kumpinga mtu eti asiongoze!
Sikujua kuwa The Guardian na BBC ni Tabloid. Asante kwa kufungua macho.....
Ntakujibu moja tu: Watu walikuwa wanakimbilia UK kwa Sababu walikuwa walikuwa wanagawa nyumba na fedha za bure. Ila sasa Uk wameishiwa hela, njaa kali..... Soma hapa:
The Coalition will end the benefits 'free-for-all' for migrants, Mark Harper says - Telegraph
Migrants must get benefits say EU: Brussels threatens to stop new crackdown | UK | News | Daily Express
Kuhusu pesa ya Mchina, fanya utafiti ujuwe mashirika makubwa wanavyonunua vitu China, malipo wanadaiwa hela gani.
Mkuu naona unakalia story za kwenye vijiwe, watu wanagawiwa nyumba bure, wanapewa pesa bure ndio sababu wanakimbilia UK, chacha iweje Waingereza wengi waende kukaa nje na iweje Kikwete awaambie wamarekani UK ndio investor namba moja hivi sasa Tanzania.
Mkuu wewe endelea kunywa kahawa hapo kijiweni chichi tunaangalia data .... ..... ni kile kiburi cha kufikiria UK si lolote si chochote hata mimi kabla ya kuhamia Alaska nilikuwa nafikiri hivyo hivyo lakini ujue UK ni kiboko. Population approx 60 million Universities zaidi ya 125 zinazotambulika kimataifa. Baada ya Havard (USA) utawakuta Cambridge, Oxford pamoja na Edinburgh (hawa wanatoa research degree kama mia tano hivi) bila kusahau Emperial pamoja na UCL. Hebu tafuta mpunga halafu nenda menyewe wanaita kwa mama usafishe macho kidogo. Phew!
Nchi ikiwa na watu wa aina hii halafu bahati mbaya kabisa wawe kwenye vyombo vya kutoa maamuzi kwa maslahi ya nchi basi ujue nchi imefulia haijui itokako, ilipo na iendako..ufahari wa kipumbavu kabisa, hiyo chuma leo ndio anajua kuwa kuna utajiri wa chuma ludewa??ana macho huyu??? hiyo mifano ya kulinganisha uk sijui au uswiss juu ya ushiriki wao jumuiya ya ulaya ni upuuzi, nguvu ya nchi hizi kiuchumi ukilinganisha na jirani zao ni sawa na tanzania sambamba na jirani zake???huu si wehu! nini mchango wetu kwenye eac hadi sasa? maneno meeeengi kumbe ujinga mtupu, dunia ya leo utaweza kusimama peke yako? unazo hizo nguvu?? kama zipo ulishindwa nini kuzitumia jana ila leo utaweza! hiyo dhahabu au almasi toka wameanza kuchimba kuna kitu gani cha kuonesha thamani ya madini hayo? nenda nzega hata tu kastrip kadogo ka lami kaingie stand ya mabasi imeshindikana na dhahabu imekwisha lusu..nani anakusubiri na akili yako iliyodumaa kwenye dunia ya leo???utavuta mkia hadi kiama, utengamano ni muhimu sana kujenga nguvu ya pamoja kukabiliana na wababe!! hata tuwe na ardhi ya ukubwa wowote..ardhi bila matumizi ni bure, tutumie akili kusemea mambo haya.
Ulichosema kinaweza kuwa ukweli..hiyo ndio akili ya kipumbavu ya watutsi walio wengi. Kwamba wao ndo wanaoweza kutawala tuu... ndio walichokifanya Uganda na Rwanda..walisaidiana wakawatoa wabaganda kwenye uongozi; walipomaliza wakaenda rwanda; sasa wapo DRC... wao wanajiona bora zaidi ya wengine na wako tayari kuuwa ili tu waweze kutawala....
Wakubaliana kuunda rasimu ya shirikisho la EAC
By James Gashumba, EANA
Arusha, Septemba 20 , 2013 (EANA)- Mkutano wa maafisa waandamizi kutoka Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi wa kuharakisha Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki umekubaliana kuanza kuandaa rasimu ya katiba ya shirikisho hilo.
Kama ilivyokuwa kwa timu ya wataalamu walioandaa Itifaki ya Soko la Pamoja, timu ya kuaada rasimu ya katiba ya shirikisho la kisiasa itajumuisha wataalamu mbalimbali kutoka nchi zote tano wananchama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
''Tumekubaliana juu ya taratibu na jinsi ya kuhakikisha kwamba ipo miongozo iliyowazi juu ya kuandaa rasimu hiyo ambayo hatimaye itafikia katika hatua ya mwisho ya kuundwa kwa shirikisho la kisiasa,'' Waziri wa Serikali za Mitaa wa Rwanda, James Musoni alisema baada ya mkutano wa mawaziri mjini Kampala mwishoni mwa wiki.
Wakuu wa nchi za Rwanda, Kenya na Uganda Juni mwaka huu walikubaliana kuongeza kasi ya kufikia lengo la shirikisho la Afrika mashariki.
Pia katika mkutano uliofanyika Mombasa,Kenya, Agosti mwaka huu, Burundi nayo iliunga mkono hatua hiyo ambayo pia inalenga kuimairisha miundombinu chakavu ndani ya kanda hiyo ya Afrika Mashariki.
Mkutano huo wa Kampala juu ya shirikisho la kisiasa ni wa kwanza wa aina yake ambapo maafisa waandamizi kutoka Rwanda, Kenya,Burundi na Uganda wamehudhuria tangu kikao cha utatu kilichofanyika mjini Entebe, Uganda Juni, mwaka huu.
Mawaziri kutoka nchi mbalimbali wananchama wa EAC waliopewa dhamana ya maandalizi ya shirikisho la kisiasa watatoa ripoti ya hatua iliyofikiwa mbele ya mkutano wa wakuu wa nchi za EAC utakaofanyika Oktoba, mjini Kigali, Rwanda.
Tanzania haimo katika mchakato wa shirikisho
Nchi hizo nne za EAC zinatumia baadhi ya vipembele katika mtangamano wa Afrika Mashariki ambavyo vinaeleza kwamba baadhi ya wananchama ndani ya jumuiya wanaweza kwenda kasi zaidi kuliko wengine katika baadhi ya masuala yanayohusu mtangamano.
Mahakama ya Afrika ya Mashariki (EACJ) ilitoa uamuzi mwaka 2009 kwamba hatua ya aina hii inaendana sawia na mahitaji ya muafaka katika kufikia maamuzi ndani ya EAC.

Toa pumba zako hapa. Huo wimbo utauimba mpaka lini? Huna kazi ya kufanya? Tumia muda wako vizuri...zalisha utunze familia yako. Watutsi huwawezi na hautawaweza. Wapo hapa miaka makarne na makarne. Hawataenda popote. Either live with them au hama uende nchi nyingine. Utter nonsense.