Burundi: Kwanini Viongozi wetu wakuu wameelekeza nguvu zao huko?

Leo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita.

Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor Mpango akafuata Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Nchi hii inaumuhimu gani kwetu kwa viogozi wetu wakuu kuelekeza nguvu zao huko, je soko lao ni kubwa kuliko nchi nyingine za ukanda wa Maziwa Makuu?

Au ni sababu za kiusalama.
Kupata mbinu za kuwa dikteta mzuri
 
Unashangaa nini Burundi kutopitishia mizigo yao mingi Tanzania? Mkoa wa Kigoma ungekuwa umefunguliwa na kuwa na miundombinu rafiki kutoka Dar, mizigo mingi ya Burundi ingepitia Tanzania.

Vv
Kwa uchumi gani ilionao?
 
Burundi Burundi watanzania wengi wa Kigoma wanauhusiano na watu wa Burundi kama makamu wa Rais na viongozi wengi waliopita awamu iliyopita. Kuna undugu wa karibu ila Burundi kiuchumi sijui hili halipo wazi wenye data atuletee hapa.
 
Burundi Burundi watanzania wengi wa Kigoma wanauhusiano na watu wa Burundi kama makamu wa Rais na viongozi wengi waliopita awamu iliyopita. Kuna undugu wa karibu ila Burundi kiuchumi sijui hili halipo wazi wenye data atuletee hapa.
Kwa uchumi iko vzr tu maana wao ndio supplier wakuu wa vibarua vya kulima mashamba huko Kigoma.

Nguvu kazi ipo.
 
🤣🤣🤣 ,kwani yule kashrudi kutoka Morocco ?,yani ni vituko kila sehemu...Yani bajeti imepita tu watu wamekimbia,,ntampa waziri wa Fedha sifa hii,amejitahidi kuface wananchi japo majibu yake ni ya kijinga,,,
 
Mwanzoni mwa mwezi huu wa julai 2021 mheshimiwa waziri mkuu aliitembelea nchi ya Burundi.

Baada ya siku chache mheshimiwa makamu wa rais aliitembelea Burundi.

Leo 16/7 namuona mheshimiwa Rais wa JMT akiwa Burundi.

Hivi kumetokea Nini au tunataka kuungans nao Kama tulivyo ungana na Zanzibar?
 
Tafakari kwa kina utaelewa tu sababu ya hizi safari za mfululizo huko. Ukiwauliza mbona Burundi kwa sana KULIKONI? Unadhani watajibu!?


Dah we jamaa sometimes Yes sometimes Noo kabisa. Anyway kwa kuwa we dare to talk openly, then let's go.
 
Ebu tuondolee upuuz wako humu..unapambana na mtu asiekuwepo!! Huna akil kabisaaa...
Huyo jamaa nadhani naye dishi limeyumba kama tundu lisu, siyo bure. Hakuna chochote cha maana anachopost cha kuisaidia chadema, asipokopi na kupaste mawazo ya wengine, basi atamshambulia marehemu, hata kwa kupost uongo wa kutunga!
 
BAKI ni mzuri kwa maana ya kuchangamsha Thread,Ila ni poor propagandist.
Propaganda haionyeshi ulaghai wala chuki!?!?
 
Yaani Burundi itupe msaada wakati inapumulia mashine za Tanzania na Rais wao akitaka kutoka nje ya Burundi hana uhakika wa kurudi madarakani mpaka Tanzania imuhakikishie.#Propaganda mafiii.

..Raisi wa Burundi alitembelea Tz na kufanya kampeni kwa ajili ya CCM.
 
Inashangaza sana mkuu,

Viongozi wa nchi kwenda nje zaidi kuliko kutembelea wananchi wao.

Toka awamu hii imeanza hakuna aliyefika Arusha , Mbeya, Mtwara ect,

Ila nawaona Kenya, Burundi, Ufaransa, Msumbiji n.k.

Sasa sijui hao ndio walioiweka serikali hii madarakani au ni wananchi wanaoangalia juu Kila mara kuangalia viongozi wao wakiruka na ndege kwenda Ughaibuni.
 
Wanamlisha matango poli Mama, akija kurudi upepo wa Kodi za mbolea, miamala utakuwa umepoa...
"...ni upepo tu utapita.... " J Khalfan.
 
Back
Top Bottom