Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,094
Nashindwa hata kutoa pole wala pongezi.Sijui hata niegemee upande gani
Nashindwa hata kutoa pole wala pongezi.Sijui hata niegemee upande gani
Hii ilikuwa mbinu tu ya kupunguza au kumaliza maandamano !! Bravo Nkuruzinza you proved again you are a master tactician!!
Taarifa hizi ziwafikie CHADEMA na washirika wao wa UKAWA.
Kwani CCM nao ni kama Nkurunzinza mng'ang'ania madaraka kwa nguvu! na hiyo ndo Domokrasia!??
nilitamani tu jamaa apinduliwe
hujamsikia sugu akidai ana kikosi huko mbeya kinaweza kupambana na magari yaliyojaa polisi 300?
Walikosea mahesabu.
Mara ya pili hawatakosea.
No. Hawakujipanga. Ukitaka kufanya walichotaka kufanya inatakiwa at least nchi moja mnayopakana mipaka iwe pamoja nawe. Tena iwe very geographicaly and strategic located kama Tanzania.Isipokuwa hivyo unaweza kweli pindua nchi lakini utakua kisiwa,no supply and effective logistics. Nchi za EAC zote hazikua tayari ku support mapinduzi.
Baba pekee wa kumsaidia huyu mpinduaji ki supply na logistics kwa kuzingatia jiografia alitakiwa awe Tanzania. Sasa Kikwete alishasema Tanzania hatutambui hayo mapinduzi. Ndio maana wakapungua nguvu na kufyata mikia mara moja baada ya Tangazo lile.
Siku zote nchi jirani zatakiwa ziiheshimu Tanzania. Proudly Tanzanian.
alichofanya nkuruzinza kinatofauti gani na kinachofanywa na ccm.ndio maana wanamtete nkurunzinza .ni wazi kuwa ccm imevunja katiba kwa kuinyang'anya CUF ushindi zanziba.pia kwa kukataa maoni ya wananchi kwenye katiba .na kuiruhusu Zanzibar kujitangaza kuwa ni nchi.ntawashanga ccm wakimkana nkurunzinza