Burundi coup bid: Some coup leaders 'arrested'

Burundi coup bid: Some coup leaders 'arrested'

dah, hii imefeli inabidi madenge aendelee na ile singo ya "FDLR imeingia burundi"...:becky:
unajua madenge ndio inawezekana alisuka huu mpango ili kumuweka mtu wake pale atakayemwendesha kama boga yule wa drc?
 
Ina maana kuna jeshi la Tanzania uko?
nitamuona nkurunziza ana akili san akama atawasamehe wote hao, na kuwaambia warundi tusameheane na tuanze ukurasa mpya. hapo atasifiwa hata mabaya yote aliyowahi kuyafanya yatasahauliwa. kama kweli ana akili ajaribu kuwateka wananchi kwa kufanya icho kitu. samehe wote kuanzia huyo generali hadi waasi wote na wala asiwafanye kitu. akiwafanya chochote, kisasi hakitakuja kuisha.
 
Asiyeng`ang`ania madaraka nani? Mbowe je,profesa lipumba je,slaa je,Maalim seif je,mrema je,makaidi je,Mbatia je,JOHN cheyo JE? Mtikila jE?

KWELI NYANI HAONI KUNDULE.kawaulize viongozi wote wa vyama vya upinzani wataachia madaraka ya kuongoza vyama wengine lini?

sawa sawa, na kila anayegombea nao anafukuzwa kama Zitto-CDM, Prof safari-CUF, jidulamabambasi-UDP,......hawakumbuki sijui kwa nini.
 
sawa sawa, na kila anayegombea nao anafukuzwa kama Zitto-CDM, Prof safari-CUF, jidulamabambasi-UDP,......hawakumbuki sijui kwa nini.
acha kuingilia siasa za watu wakati za kwenu zimekushinda!!! hivi unaanza kwa kuzuga lakini wakishaingia kwenye 18 zako kwisha habari, utaaza kuwalisha zile sumu zako za ukabila...
 
Ninachokiona ni summary executions kwa hawa waliokamatwa lakini in no time, inafuatia assassination ya watu wakuu wanaosimamia uvunjwaji wa makubaliano unaolalamikiwa... Tabby, nakukubali sana...
 
Last edited by a moderator:
Nkurunziza yuko sahihi kugombea muhura mwingine. ili kujua hili ebu tujiulize! hivi sheria ikitungwa, ina mwanzo wa kutekerezwa kwake?? au inaanza kuhukumu wote waliofanya makosa kabla ya kuwekwa kwa sheria hiyo? kama hakubariki nchini Burundi kwanini wasiruhusu agombee halafu apigwe chini kwa njia ya kura kama ilivyofanyika Nigeria? mbona maandamano ni Bujumbura tu? mikoa mingine haina watu?

Angeshutumiwa kwa kosa la ubadhirifu, au matumizi mabaya ya madaraka hiyo ingekuwa sahihi zaidi ingawa hata hivyo yangetumika kama turufu ya kumshinda kwenye uchaguzi. Waache vurugu wote wanao tafuta nafasi hiyo ya uraisi, wavumilie tu mpaka baada ya miaka 5 ijayo.
 
Nkurunziza will get what he ask for.that coup was a good message for him to run safely.now it will be a bullet in the head.
 
Nkurunziza will get what he ask for.that coup was a good message for him to run safely.now it will be a bullet in the head.

Kwa wanajeshi wale hata kuku hawawezi kumuuwa..unatangaza mapinduzi kipumbafu namna ile ....nkurunziza atatawala milele
 
Mbali na hayo Burundi ina upinzani,lege lege sana...wana kazi ya kulalama tu..uchaguzi wa kwanza walisusia hivyo hivyo kwa ujinga ujinga wao Pierre akashinda
 
Nkurunziza will get what he ask for.that coup was a good message for him to run safely.now it will be a bullet in the head.

Nkurunzinza mwenyewe yuko fiti he was a rebel leader before. Na sababu ya jeshi kugawanyika ni uwapo wa wanajeshi waliokuwa FDD aliokuwa anawaongoza kabla ya integration na jeshi la watutsi kutokana na mkataba wa Arusha. A bullet in his head itakuwa ngumu na ikitokea tu ujue ni another genocide.
 
Kwa wanajeshi wale hata kuku hawawezi kumuuwa..unatangaza mapinduzi kipumbafu namna ile ....nkurunziza atatawala milele

kweli nimejaribu kufuatilia historia za mapinduzi haya ya burundi it was a joke kwa kweli.
 
Back
Top Bottom