Burundi coup bid: Some coup leaders 'arrested'

Burundi coup bid: Some coup leaders 'arrested'

Habari za hivi punde zinanesha kuwa Jenerali G. Niyombare,kiongozi wa Jaribio la Mapinduzi nchini Burundi,amekamatwa. Taarifa zaidi zitafuata.

Mzee Tupatupa (kwasasa Arusha)

Taarifa hizi ziwafikie CHADEMA na washirika wao wa UKAWA.
The failed coup leader Maj Gen Godefroid Niyombare is still on the run, Burundi president's spokesperson Gervais Abayeho has told the BBC Africa Live page.

Three other security officials allegedly involved in the coup have been detained.


BBC Africa Live page

 
waburundi wajiandae kukaa na Nkurunzinza mpaka afikie umri wa museveni.

wameyakoroga sasa wanayanywa

very sad indeed.
 
Hii ilikuwa mbinu tu ya kupunguza au kumaliza maandamano !! Bravo Nkuruzinza you proved again you are a master tactician!!
 
CFCNFdMVEAIl9rO.jpg
.
kushitakiwa kijeshi kwa uasi.

Ina maana kuna jeshi la Tanzania uko?
 
Ya Laurent Desire Kabila yatajirudia kwa Pierre Nkurunzinza.
 
Kigoma itajaa warundi, km machafuko yataendelea.
 
Huu utoto sana jamani issue ya nchi nyingine watu mnaakomaa kupeana makundi kupitia matukio yasiyowahusu, haya sasa nani ana ushahidi kua Ukawa wanahusika na hii issue? Utoto tu

hujamsikia sugu akidai ana kikosi huko mbeya kinaweza kupambana na magari yaliyojaa polisi 300?
 
Ishi, ina maana alikuwa hana plan "B" mpaka anakamatwa kijinga hivyo? Adhabu ya mtu aliyefanya uhaini inaeleweka...!
alisahau plan B nyuma! lakini pia 'kumpoteza' na kwa rais ambaye ameligawa taifa italeta shida zaidi
 
Majenerali wawili walioasisi mapinduzi yaliyoshindwa Burundi wamekamatwa.
Hizi ni habari mbaya kabisa na ni habari njema kabisa kwetu.
Pole Godefroid na hongera Pierre ila jamb.ajamb.a umepata.
 
Walikosea mahesabu.
Mara ya pili hawatakosea.
 
Majenerali wawili walioasisi mapinduzi yaliyoshindwa Burundi wamekamatwa.
Hizi ni habari mbaya kabisa na ni habari njema kabisa kwetu.
Pole Godefroid na hongera Pierre ila jamb.ajamb.a umepata.

Wanyongwe kabisa hao wahaini waliojaa uroho wa madaraka walikuwa na haraka gani kufanya mapinduzi wakati rais alikuwa ameitwa na marais wenzake kwa ajili ya kumpa ushauri, kwa nini hawakusubiri hatima ya mazungumzo ambayo pengine yangezaa matunda yenye faida kwa watu wote?.
 
Ni habari nzuri kwani kwa namna moja itapunguza umwagikaji wa damu. Ila hii wkt mwingine naona kama vle yalikua maigizo.
 
Back
Top Bottom