Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Hage yabhinshene?wabheja ng'wanisale
Hage yabhinshene?wabheja ng'wanisale
Mkuu kumbe ameshaachana na mrundi wake na wewe ndio umechukua Toto la kisukuma Victoire nini?Namfahamu victore ni msukuma A-Z aliolewa na shemeji yetu Mrundi na wakapata watoto japo anaishi mamtoni. Usiniulize namfahamu vipi
Inawezekana Nkurunziza anaamini hao retired army officers ndio perpetrators wa huo uasi......just thinking out loud, assuming mauaji hayo yanafanywa na watu wa Nkurunzizaswali kubwa ni why? Kwa nini a retired officer auawe?
Typing error...aliolewa......ameolewa na shemu Mrundi hadi leo wako pamojaMkuu kumbe ameshaachana na mrundi wake na wewe ndio umechukua Toto la kisukuma Victoire nini?
Mrundi mhutu au mtutsi?Typing error...aliolewa......ameolewa na shemu Mrundi hadi leo wako pamoja
Duh!! Mkuu mfuate private akuelewesheMrundi mhutu au mtutsi?
Nawafahamu hawa, ni jirani zangu na kuna wakati huwa wananinasibisha nao. Unamuona shemeji yako Koba anavyomshambulia gmali eti kwa sababu yeye ni Muhutu?Mhutu,google ten comandments za wahutu,kipindi wanatawala Rwanda,unajua utawala upo vice versa Rwanda ilikuwa Rais mhutu kwa kipindi kirefu wakati Burundi ilikuwa watutsi ndo wanaupata Urais,alikuja akapata mhutu Melichior Ndandaye baadae kidogo akauliwa,wakafululiza tena watutsi,mpaka alipokuja tena Cyprien Ntaryamira mhutu aliekufa kwenye ile ndege iliyotunguliwa akiwa na Rais wa Rwanda mhutu Juvénal Habyarimana.Watutsi na Wahutu kamwe hawatakuja kupendana.Hivi sasa Rwanda Raisi kagame Mtutsi huku Burundi Raisi Mhutu Nkurunziza.Ndo maana hapatulii.
Soma post za nyuma, kasema ni Mtutsi.Mrundi mhutu au mtutsi?
Wa kwako Mtutsi au Mhutu?
Mhutu,google ten comandments za wahutu,kipindi wanatawala Rwanda,unajua utawala upo vice versa Rwanda ilikuwa Rais mhutu kwa kipindi kirefu wakati Burundi ilikuwa watutsi ndo wanaupata Urais,alikuja akapata mhutu Melichior Ndandaye baadae kidogo akauliwa,wakafululiza tena watutsi,mpaka alipokuja tena Cyprien Ntaryamira mhutu aliekufa kwenye ile ndege iliyotunguliwa akiwa na Rais wa Rwanda mhutu Juvénal Habyarimana.Watutsi na Wahutu kamwe hawatakuja kupendana.Hivi sasa Rwanda Raisi kagame Mtutsi huku Burundi Raisi Mhutu Nkurunziza.Ndo maana hapatulii.
He is the mastermind of sindumuja, RIP commanderswali kubwa ni why? Kwa nini a retired officer auawe?
swala la yeye kuwa mtutsi halikuwa siri kwake wala familia yake, ndio maana alimficha kaka yake "hotel Rwanda" ili amuepushe na genocide ambayo yeye mwenyewe alikuwa ndio anaratibu. Wahutu wanaweza kueleweka wakisema kwamba hawakuwa wanajua kwa kuwa labda alikuwa miongoni mwa wanyarwanda wasio na maumbile typical ya kihutu au kitusi, lakini nini sababu ya mtusi kuongoza genocide dhidi ya watusi wenzie? hilo ndio swali kubwa zaidi....Family, kwa maana ya baba mzazi ndiyo iliyo assume hutu identity. Very interesting indeed.
...Najiuliza! Kwanini wahutu wakubali kuongozwa na mtutsi, ku commit war crimes? Wakubwa, ambao walikuwa wahutu, hawakulijua hili?
...Maswali mengi, majibu sioni.
Ni wazo zuri ukiliangalia kihivyo lakini uhalisia ni tofauti kabisa.hawa inabidi waoleana sana, mtusi aoe mhutu, mhutu aoe mtusi kwa kiwango cha juu sana hadi wachanganyikane wote wawe mixer mtusi na mhutu, hii ndo itakuwa dawa ya kudumu
Who should be blamed for the event?
Mimi sio mhutu ila hawa jamaa kwa kuwa hawana hoja, huwa ni lazima wakupachike uhutu kilazima na wakuite interahamwe. Matokeo yake wanachama wageni hapa JF wakikuta mijadala yetu hudhani kuwa ni wahutu na watutsi tunagombana 😀Mbona jMali anajitambulisha kama ni mtanzania wa kabila la wahaya, imekuaje awe mhutu?
Wewe sio mhutu bali ni interahamwe..kwenye interahamwe kuna wahutu walokuwa 99.99% na robert kajuga...wewe unajijua mbona hutaki kuwafafanulia watanzania?Mimi sio mhutu ila hawa jamaa kwa kuwa hawana hoja, huwa ni lazima wakupachike uhutu kilazima na wakuite interahamwe. Matokeo yake wanachama wageni hapa JF wakikuta mijadala yetu hudhani kuwa ni wahutu na watutsi tunagombana 😀