Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,037
- 60,222
kwa jina la YESU,hawatafuata huko,ila kusema ikweli warundi basi tu,ninaishi nao yaani acha tu,yaani mtutsi na mhutu ni panya na pakaHuwezi kuzuia maji yasipite kwenye mkondo wake.
kwa jina la YESU,hawatafuata huko,ila kusema ikweli warundi basi tu,ninaishi nao yaani acha tu,yaani mtutsi na mhutu ni panya na pakaHuwezi kuzuia maji yasipite kwenye mkondo wake.
Kweli tusishangae hata kwetu wapo
Wa kwako Mtutsi au Mhutu?kwa jina la YESU,hawatafuata huko,ila kusema ikweli warundi basi tu,ninaishi nao yaani acha tu,yaani mtutsi na mhutu ni panya na paka
Haiwezi kufika huko na haitofika. Shida kubwa ya Burundi ni baadhi ya viongozi wa kitusi ambao hawataki kuwa viongozi kwa kupigiwa kura, wanataka kupita njia ya mkato, mapinduzi. Hizo vurugu zote wanataka walau mgawanyo wa madaraka maana kwa sasa, kupindua hawawezi. Hebu jiulizeni, ni kwa nini Pierre Buyoya, Alexis Sinduhije na baadhi ya watusi hawakuhudhuria mazungumzo Arusha ilhali wamealikwa?...Burundi inaelekea ilipotoka Rwanda?
Ah basi tena.Mimi mtanzania pure,wanangu ndo wa kule
...Kuna uhakika kupindua hawawezi? Maana wanavyouawa haitakuwa rahisi wao kukaa kimya.Haiwezi kufika huko na haitofika. Shida kubwa ya Burundi ni baadhi ya viongozi wa kitusi ambao hawataki kuwa viongozi kwa kupigiwa kura, wanataka kupita njia ya mkato, mapinduzi. Hizo vurugu zote wanataka walau mgawanyo wa madaraka maana kwa sasa, kupindua hawawezi. Hebu jiulizeni, ni kwa nini Pierre Buyoya, Alexis Sinduhije na baadhi ya watusi hawakuhudhuria mazungumzo Arusha ilhali wamealikwa?
Sio kwamba wanaouawa wote ni wafuasi wa serikali. Mauaji mengine ni kwa ajili ya kucreate world attention,kwa hiyo wanaua yeyote wanaekutana nao then wanapiga picha na kuzirusha mitandaoni. Fikiria, nchi inakwenda kwenye mazungumzo, wengine wanaalikwa hawahudhurii,taarifa hawatoi. Kwa mfano, viongozi wawili wa vijana wa chama cha uprona waliokimbilia Rwanda, walitaka kuja arusha kuhudhuria mazungumzo ile wanafika Kigali airport walizuiliwa. Na ukumbuke, plan ya paka kuchochea vurugu Burundi ni ili kumuweka madarakani mtusi mwenzie ama Buyoya au sinduhije. Ndio maana wawili hao hawakuhudhuria mazungumzo ya arusha. Mazungumzo ya arusha ni kikwazo kikubwa kwao kuwa viongozi wa Burundi....Kuna uhakika kupindua hawawezi? Maana wanavyouawa haitakuwa rahisi wao kukaa kimya.
...Nimeona kwa taarifa ya habari. Nimejiuliza, sijapata jibu.
Hakikisha wanaufahamu upendo wa Mungu kwao na kwa binadamu wenzao. Ukiwalea katika upendo huo na wakaweza kuuona kutoka kwenu wazazi na wakaiangalia historia ya babu zao kupitia katika jicho hilo, basi sumu hii ya uhasama haitawagusa.Ila warundi jamani,Mungu nilindie wanangu wasiwe na roho mbaya kama za babu zao warundi
...Una maana watutsi wanaua wenzao -hao wanajeshi wawili wa vyeo vya juu- ili kuichafua Burundi?Sio kwamba wanaouawa wote ni wafuasi wa serikali. Mauaji mengine ni kwa ajili ya kucreate world attention,kwa hiyo wanaua yeyote wanaekutana nao then wanapiga picha na kuzirusha mitandaoni. Fikiria, nchi inakwenda kwenye mazungumzo, wengine wanaalikwa hawahudhurii,taarifa hawatoi. Kwa mfano, viongozi wawili wa vijana wa chama cha uprona waliokimbilia Rwanda, walitaka kuja arusha kuhudhuria mazungumzo ile wanafika Kigali airport walizuiliwa. Na ukumbuke, plan ya paka kuchochea vurugu Burundi ni ili kumuweka madarakani mtusi mwenzie ama Buyoya au sinduhije. Ndio maana wawili hao hawakuhudhuria mazungumzo ya arusha. Mazungumzo ya arusha ni kikwazo kikubwa kwao kuwa viongozi wa Burundi.
That's how it is mkuu. They can kill anyone as long as they are spoiling the image of the government. All they want is power, a tutsi power, no matter to who they kill....Una maana watutsi wanaua wenzao -hao wanajeshi wawili wa vyeo vya juu- ili kuichafua Burundi?
...I can understand your point.
Wabheja sana nsezaye,Mulungu agubagunana gete gete,Ku nguno U Mulungu agapanga bhabize na damu ya kwenuko.Mhola ya Sebha ilikubiza nabhoHakikisha wanaufahamu upendo wa Mungu kwao na kwa binadamu wenzao. Ukiwalea katika upendo huo na wakaweza kuuona kutoka kwenu wazazi na wakaiangalia historia ya babu zao kupitia katika jicho hilo, basi sumu hii ya uhasama haitawagusa.
Balombelage bujiku na limi na Seba Agubalanghana. Bagishage!
NiPM nikuunganishia kwa wifi yangu,warembo hao acha kabisa🙁🙁Ah basi tena.
Ungekuwa mrundi ningekupa moyo wangu bure uumiliki.
Natafuta mtoto wa kirundi mzuri mzuri nimpe kamoyo kangu kote amiliki bureeeee kabisa.
...Amahoro.That's how it is mkuu. They can kill anyone as long as they are spoiling the image of the government. All they want is power, a tutsi power, no matter to who they kill.
Nakuja kwa PM na zawadi yangu kabisa aisee mamaa Victoire , utakuwa umenisaidia sana.NiPM nikuunganishia kwa wifi yangu,warembo hao acha kabisa🙁🙁
please explain that theory because all i did was wonder: The col is retired, why kill him? who would benefit from killing a retiree? Was he a political heavy weight? NO!, was he a party cadre? NO! Hebu tusaidie hapo please, vinginevyo pita pembeni maana hunaga chochote cha kusema isipokuwa interahamwe!It's not hard to see what bogus theory unataka kuleta humu...interahamwe sio watu,Kagame made a big mistake was supposed kuwafanya like NAZI Germany walivyofanywa after war
Halafu wauaji huwa wanavaa sare za polisi mchana kweupe!!Sio kwamba wanaouawa wote ni wafuasi wa serikali. Mauaji mengine ni kwa ajili ya kucreate world attention,kwa hiyo wanaua yeyote wanaekutana nao then wanapiga picha na kuzirusha mitandaoni. Fikiria, nchi inakwenda kwenye mazungumzo, wengine wanaalikwa hawahudhurii,taarifa hawatoi. Kwa mfano, viongozi wawili wa vijana wa chama cha uprona waliokimbilia Rwanda, walitaka kuja arusha kuhudhuria mazungumzo ile wanafika Kigali airport walizuiliwa. Na ukumbuke, plan ya paka kuchochea vurugu Burundi ni ili kumuweka madarakani mtusi mwenzie ama Buyoya au sinduhije. Ndio maana wawili hao hawakuhudhuria mazungumzo ya arusha. Mazungumzo ya arusha ni kikwazo kikubwa kwao kuwa viongozi wa Burundi.
kumbuka kilichotokea Rwanda 1994, baada ya machafuko kutulia ndipo dunia ikagundua kuwa kumbe kiongozi mkuu wa interahamwe alikuwa ni mtutsi Robert Kajuga aliyejifanya mhutu! Sasa jiulize ni kwa nini mtutsi aongoze kundi la wahutu kubaka na kuua watutsi wenzie huku akijifanya mhutu?...Una maana watutsi wanaua wenzao -hao wanajeshi wawili wa vyeo vya juu- ili kuichafua Burundi?
...I can understand your point.
Kumbe wewe ni mrundi!Ila warundi jamani,Mungu nilindie wanangu wasiwe na roho mbaya kama za babu zao warundi