Huna hoja wewe, kaa kimya !Wewe sio mhutu bali ni interahamwe..kwenye interahamwe kuna wahutu walokuwa 99.99% na robert kajuga...wewe unajijua mbona hutaki kuwafafanulia watanzania?
Huna hoja wewe, kaa kimya !Wewe sio mhutu bali ni interahamwe..kwenye interahamwe kuna wahutu walokuwa 99.99% na robert kajuga...wewe unajijua mbona hutaki kuwafafanulia watanzania?
Kama una hoja waeleze wanajamvi kwa sasa Robert Kajuga ana wadhifa gani kwenye serikali ya kipuuzi inayoongozwa na wapuuzi wa rpf.Wewe sio mhutu bali ni interahamwe..kwenye interahamwe kuna wahutu walokuwa 99.99% na robert kajuga...wewe unajijua mbona hutaki kuwafafanulia watanzania?
tatizo kuu ni nkrunzinza
Tatizo siyo Nkuru, tatizo ni team Paka na team Buyoya, kila kitu kiko wazi, chamoto watakipata
Wabeja ilumbulyane. Walema gete ugunicholela ganike gajisukuma. Nahayaga gutola ng'wanike ogichaga lulu. Nigunanage ilumbulyane. Abachaga bajanja sana. Nalikumya guke!Wabheja sana nsezaye,Mulungu agubagunana gete gete,Ku nguno U Mulungu agapanga bhabize na damu ya kwenuko.Mhola ya Sebha ilikubiza nabho
Kama kuna makubaliano ya dhati HIYO NDIYO SOLUTION. Kumbuka vita vya Mkwawa na Mirambo viliisha kwa kila kabila kutoa wasichana wengi walioenda kuolewa upande wa pili. Automatically kila upande usingeazisha vita tena kwa kuwa upande wa pili walikuwa ni watoto wao. Chifu wa Songea alimkatalia Mkwawa hilo ndiyo maana vita kati yao vilidumu kwa muda mrefu kidogo.Ni wazo zuri ukiliangalia kihivyo lakini uhalisia ni tofauti kabisa.
Najua vita ya ukabila ni mbaya sana na chuki huwa haiishi hata waoane kila kukicha.
Sio kwa jirani tu hata mataifa mengine in general, yaani mtu anauwa mtoto wa dada yake kwa sababu tu kaolewa na kabila la upande mwingine.
Chuki ya ukabila ni ngumu kusahau tuwaombee wasameheane tu na kujenga umoja ingawa wana machungu mengi
Ni logic nimekubali in a way, asante kuniongezea hiloKama kuna makubaliano ya dhati HIYO NDIYO SOLUTION. Kumbuka vita vya Mkwawa na Mirambo viliisha kwa kila kabila kutoa wasichana wengi walioenda kuolewa upande wa pili. Automatically kila upande usingeazisha vita tena kwa kuwa upande wa pili walikuwa ni watoto wao. Chifu wa Songea alimkatalia Mkwawa hilo ndiyo maana vita kati yao vilidumu kwa muda mrefu kidogo.
kwa hiyo mimi mtusi au?😵Wewe sio mhutu bali ni interahamwe..kwenye interahamwe kuna wahutu walokuwa 99.99% na robert kajuga...wewe unajijua mbona hutaki kuwafafanulia watanzania?
Interahamwe...whether mtutsi like kajuga or mhutu like bagosora..chagua mwenyewekwa hiyo mimi mtusi au?😵
poa basi sawa, maana najua ukishaanzaga hivyo huwa ndio umeishiwaInterahamwe...whether mtutsi like kajuga or mhutu like bagosora..chagua mwenyewe
Acha kuzuga watu na kumtumia huyo Kajuga or whatever ili kuondoa lawama kwa ndugu zako wauaji hutu extremist,its not a secret ndugu zako hutu extremist ndio waliopanga na kutekeleza genocide yote na nia ilikuwa to eliminate Tutsi, leo kwa akili yako ilivyo mbovu na bila aibu unataka kuwaaminisha watu waliofanya ile genocide ni watutsi kwa sababu ya mwehu mmoja Kajuga..GENOCIDE ILIFANYWA NA EXTREMIST HUTUS NA NIA ILIKUWA TO ELIMINATE ALL TUTSI PERIOD! na genocide iliisha after RPF military victory ikiongozwa na Paul Kagame na kuiteka Kigali mengine yote propagandaswala la yeye kuwa mtutsi halikuwa siri kwake wala familia yake, ndio maana alimficha kaka yake "hotel Rwanda" ili amuepushe na genocide ambayo yeye mwenyewe alikuwa ndio anaratibu. Wahutu wanaweza kueleweka wakisema kwamba hawakuwa wanajua kwa kuwa labda alikuwa miongoni mwa wanyarwanda wasio na maumbile typical ya kihutu au kitusi, lakini nini sababu ya mtusi kuongoza genocide dhidi ya watusi wenzie? hilo ndio swali kubwa zaidi.
Kaolewa Na mrundi anayejiita mtzNa wewe ni Mrundi?
Kwahiyo aliwazuia wao kwenda kwa ballot box?hao ndo walimuambia nkrunzinza agombee tena?!
kwa jina la YESU,hawatafuata huko,ila kusema ikweli warundi basi tu,ninaishi nao yaani acha tu,yaani mtutsi na mhutu ni panya na paka
mmh ndaishimiye mbona majina kigoma hayo...halafu inasemekana warundi wote asili yao ni kigoma na ngaraMuangalie huyo mkubwa alivyo na ma'asra asra,kweli hajachukua kwa babu Ndaishimiye????
Ni kweli kabisa. Nakumbuka baada ya mauaji ya Melchior Ndadaye mwaka 1993 ambayo nina hakika alihusika nayo huyo Buyoya, kuliibuka vurugu nyingi sana na wakimbizi wengi walikuja Tanzania wakiwemo wale waliokuwa wamerudi Burundi baada ya kupata Rais wa kidemokrasia. mwaka 1994 Cyprien Ntaryamira alipokea kiti cha urais lakini huyu alikufa mwaka huo huo pamoja na Rais wa Rwanda Juvenal Havyarimana walipotunguliwa na akina paka, na huanzisha vurugu za mwaka 1994 Rwanda ziitwazo genocide. Aliyeingia madarakani kupitia chama chao hicho cha FRODEBU alikuwa Sylvester Ntibantunganya lakini naye huyu alipinduliwa na Buyoya mwaka 1996, hatimaye Buyoya akarudi madarakani kimabavu hadi mwaka 2003. Sasa anataka tena kurudi madarakani? Ameshaitawala Burundi miaka 15 tena kwa mapinduzi, na bado hajatosheka. Nadhani lengo alilo nalo halijatimia. Mi naamini binadamu kama hawa ni liability kwa dunia.Tena ndiye kinara mkubwa wa vurugu Burundi. Buyoya huwa hajiamini kusimama majukwaani kuomba kura, yeye zake ni mapinduzi tu. Kumbuka ndie aliyempindua binamu yake bagaza, then akampindua na kumuua kabisa Melchior Ndadaye 2003. Sasa anajaribu tena kwa kushirikiana na Paulo kumuangusha Nkurunziza. Ndio maana hata mazungumzo ya arusha hakushiriki ingawaje alipewa taarifa. Mazungumzo ni kikwazo kikubwa sana kwake maana yatamzuia kupindukia ikulu kwa kupitia dirishani.
Inasikitisha sana,Huyu Buyoya ni hatari sana,yaani hawa wahutu na watusi ;Mkoloni ndo alifanya huu uadui wa watutsi ukolee,Maana Mbelge alipofika Rwanda na Burundi ndo akawakoleza wasielewane zaidi ili awatawale kirahisi,unaambiwa hata kwenye mitihani yao walikuwa wanaandika ethinic groupe zao,unaandika kama wewe ni mtutsi au mhutu,sasa hapo mwalimu akiwa mtutsi halafu asahihishe paper ya mhutu ,huyo mhutu lazima afeli,yaani mimi niliposimuliwa jinsi wanavyouishi huo uadui wa kiethenic mpaka nilitoa machozi.HIYO IMESAMBAA VIZAZI MPAKA VIZAZITaarifa yako iko sahihi ila ina makosa kidogo. Baada ya kuuawa Melchior Ndadaye mwaka 1993 miezi ichachhe tu baada ya kuchaguliwa kidemokrasia hawakufululiza watusi. Mwaka uliofuata Cyprien Ntaryamira (Mhutu) alipokea madaraka, lakini aliuawa mwaka huo huo kwenye ndege ya Rwanda kama ulivyosema. Na baada ya hapo alipokea madaraka Mhutu tena mwakka huo lakini alipinduliwa na Buyoya mwaka 1996. Huyu Buyoya alikaa madarakani hadi 2003. kwa hiyo kati ya 1993 hadi 1996 kumekuwa na marais watatu wahutu lakini wote wamepinduliwa ama kuuawa na wapinzani wao. Pamoja na kwamba kuna juhudi na watu wanatakiwa kuwa optimistic, sina budi kuungana na kauli yako kwamba haya makabila hayatakuja kupendana.