BURUNDI: Colonel Rufyiri killed outside his home

BURUNDI: Colonel Rufyiri killed outside his home

kumbuka kilichotokea Rwanda 1994, baada ya machafuko kutulia ndipo dunia ikagundua kuwa kumbe kiongozi mkuu wa interahamwe alikuwa ni mtutsi Robert Kajuga aliyejifanya mhutu! Sasa jiulize ni kwa nini mtutsi aongoze kundi la wahutu kubaka na kuua watutsi wenzie huku akijifanya mhutu?
...Family, kwa maana ya baba mzazi ndiyo iliyo assume hutu identity. Very interesting indeed.

...Najiuliza! Kwanini wahutu wakubali kuongozwa na mtutsi, ku commit war crimes? Wakubwa, ambao walikuwa wahutu, hawakulijua hili?

...Maswali mengi, majibu sioni.
 
siasa za burundi na rwanda ni ngumu wananchi na viongozi wao wote ni watata
Hizi nchi mbili naona zinahitaji kuwa recolonised upya angalau kwa miaka mia ili hiki kizazi chenye laana kipotee ndo wapewe uhuru upya tena .Watu wanauana kama wanyama hawana ubinadamu.Kwenye ramani ya dunia hawaonekani ila wanajulikana kwa uana tu.Naona Donald Trump akiingia madarakani aanze na hawa jamaa
 
Haiwezi kufika huko na haitofika. Shida kubwa ya Burundi ni baadhi ya viongozi wa kitusi ambao hawataki kuwa viongozi kwa kupigiwa kura, wanataka kupita njia ya mkato, mapinduzi. Hizo vurugu zote wanataka walau mgawanyo wa madaraka maana kwa sasa, kupindua hawawezi. Hebu jiulizeni, ni kwa nini Pierre Buyoya, Alexis Sinduhije na baadhi ya watusi hawakuhudhuria mazungumzo Arusha ilhali wamealikwa?
Hivi Meja Buyoya naye bado yumo tu kwenye siasa hata baada ya kuwa Rais mara nyingi?
 
siasa za burundi na rwanda ni ngumu wananchi na viongozi wao wote ni watata
Hizi nchi nadhani kosa lilifanyika mwanzo. Aliyezigawa kama zawadi kwa mbelgiji ndiye alikosea. Ilitakiwa ziwe mikoa ya nchi mojawapo kubwa. Hayo makabila mawili yalitakiwa yawe sehemu ya makabila 100+ ya nchi fulani, na hapo wasingekuwa na cha kupigania. Vinginevyo, the way I see it, watakuja sana Arusha. they have been here before, for Burundi, for Rwanda, more than once, they are here and definitely, they will be here again. Yaani muongo mmoja haumaliziki bila kadhia!
 
Sio kwamba wanaouawa wote ni wafuasi wa serikali. Mauaji mengine ni kwa ajili ya kucreate world attention,kwa hiyo wanaua yeyote wanaekutana nao then wanapiga picha na kuzirusha mitandaoni. Fikiria, nchi inakwenda kwenye mazungumzo, wengine wanaalikwa hawahudhurii,taarifa hawatoi. Kwa mfano, viongozi wawili wa vijana wa chama cha uprona waliokimbilia Rwanda, walitaka kuja arusha kuhudhuria mazungumzo ile wanafika Kigali airport walizuiliwa. Na ukumbuke, plan ya paka kuchochea vurugu Burundi ni ili kumuweka madarakani mtusi mwenzie ama Buyoya au sinduhije. Ndio maana wawili hao hawakuhudhuria mazungumzo ya arusha. Mazungumzo ya arusha ni kikwazo kikubwa kwao kuwa viongozi wa Burundi.
You distort everything and you have no clue of what you are talking about,sio rahisi debating extremist bigoted like you,Burundi problems ni watu kama wewe ,Rwanda did put stop in that kind of BS maana wanawajua sana your likes
 
Wa kwako Mtutsi au Mhutu?
Mhutu,google ten comandments za wahutu,kipindi wanatawala Rwanda,unajua utawala upo vice versa Rwanda ilikuwa Rais mhutu kwa kipindi kirefu wakati Burundi ilikuwa watutsi ndo wanaupata Urais,alikuja akapata mhutu Melichior Ndandaye baadae kidogo akauliwa,wakafululiza tena watutsi,mpaka alipokuja tena Cyprien Ntaryamira mhutu aliekufa kwenye ile ndege iliyotunguliwa akiwa na Rais wa Rwanda mhutu Juvénal Habyarimana.Watutsi na Wahutu kamwe hawatakuja kupendana.Hivi sasa Rwanda Raisi kagame Mtutsi huku Burundi Raisi Mhutu Nkurunziza.Ndo maana hapatulii.
 
Ila warundi jamani,Mungu nilindie wanangu wasiwe na roho mbaya kama za babu zao warundi
Hahahahaaa!! Yaani wewe umekuwa na visa hadi raha. Chuki au roho mbaya hujengwa ukiwa mtoto mdogo, mfano ni hao wajomba unaosema kuwa wasifuate roho za babu zao,hapo wewe na shemeji hamtakiwi kuzungumzia jambo lolote negatively kuhusu kabila mojawapo wakiwa around kumbuka mtoto anakalili sana. Bonjour cheri[emoji188]
 
Mhutu,google ten comandments za wahutu,kipindi wanatawala Rwanda,unajua utawala upo vice versa Rwanda ilikuwa Rais mhutu kwa kipindi kirefu wakati Burundi ilikuwa watutsi ndo wanaupata Urais,alikuja akapata mhutu Melichior Ndandaye baadae kidogo akauliwa,wakafululiza tena watutsi,mpaka alipokuja tena Cyprien Ntaryamira mhutu aliekufa kwenye ile ndege iliyotunguliwa akiwa na Rais wa Rwanda mhutu Juvénal Habyarimana.Watutsi na Wahutu kamwe hawatakuja kupendana.Hivi sasa Rwanda Raisi kagame Mtutsi huku Burundi Raisi Mhutu Nkurunziza.Ndo maana hapatulii.
Urakoze cyane..umenena vema
 
Hivi Meja Buyoya naye bado yumo tu kwenye siasa hata baada ya kuwa Rais mara nyingi?
Tena ndiye kinara mkubwa wa vurugu Burundi. Buyoya huwa hajiamini kusimama majukwaani kuomba kura, yeye zake ni mapinduzi tu. Kumbuka ndie aliyempindua binamu yake bagaza, then akampindua na kumuua kabisa Melchior Ndadaye 2003. Sasa anajaribu tena kwa kushirikiana na Paulo kumuangusha Nkurunziza. Ndio maana hata mazungumzo ya arusha hakushiriki ingawaje alipewa taarifa. Mazungumzo ni kikwazo kikubwa sana kwake maana yatamzuia kupindukia ikulu kwa kupitia dirishani.
 
Back
Top Bottom