BURUNDI: Colonel Rufyiri killed outside his home

BURUNDI: Colonel Rufyiri killed outside his home

Inasikitisha sana,Huyu Buyoya ni hatari sana,yaani hawa wahutu na watusi ;Mkoloni ndo alifanya huu uadui wa watutsi ukolee,Maana Mbelge alipofika Rwanda na Burundi ndo akawakoleza wasielewane zaidi ili awatawale kirahisi,unaambiwa hata kwenye mitihani yao walikuwa wanaandika ethinic groupe zao,unaandika kama wewe ni mtutsi au mhutu,sasa hapo mwalimu akiwa mtutsi halafu asahihishe paper ya mhutu ,huyo mhutu lazima afeli,yaani mimi niliposimuliwa jinsi wanavyouishi huo uadui wa kiethenic mpaka nilitoa machozi.HIYO IMESAMBAA VIZAZI MPAKA VIZAZI
Ni kweli ulichosema. Mgawanyo huo wa divide and rule ndio ulioanzisha matabaka haya. Watutsi walitumika kama viranja wa kutekeleza majukumu ya wakoloni. Wahutu wakawa tabaka la watawaliwa na watu wa hadhi ya chini. Hii ilichochea uadui ambao hata leo unaendelea. Mtutsi anajihisi kama yupo kifungoni anapokuwa chini ya uongozi wa Mhutu, kwa sababu yeye anaamini 'aliumbwa ili atawale'. Na hii yote kafanya mbeligiji. Bahati mbaya hii nchi kimsingi ina makabila hayo mawili. Sasa uhasama wa makabila mawili ni ngumu sana kuisha. Ingekuwa rahisi kama haya makabila yangekuwa absorbed na kuwa 'dissolved' ndani ya jamii yenye makabila mengi zaidi. Kwa hali ilivyo sasa, mchezo utakuwa huo huo wa kupinduana na kuchocheana.
 
Kwahiyo nkuru akigombea wakati we we hutaki kugonbea yeye ndo tatizo?. Subiri uone ..........
 
mmh ndaishimiye mbona majina kigoma hayo...halafu inasemekana warundi wote asili yao ni kigoma na ngara
Si sawa kusema kwamba Warundi asili yao ni Kigoma au Ngara, ila ni sahihi kusema Warundi na Waha au baadhi ya watu wa Ngara ni jamii moja. Hawakuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine hadi waitwe wa asili fulani. Waliochora mpaka wakati wa kugawana maeneo ya kiutawala waliigawa jamii moja kuwa nchi mbili tofauti. Hali kama hii unaikuta kila mahali mpakani katika nchi zilizotawaliwa na kugawanywa na wakoloni. ndiyo maana kuna wajaluo wa Tanzania na kenya, Wamaasai wa tanzania na Kenya, Wamakonde...etc
 
View attachment 350854

Rtd. Colonel Rufyiri has been gunned down outside his home in Bujumbura by gunmen.

He is the second high ranking Tutsi officer to be killed after the late General Kararuza who was killed on the 25th of April, 2016 on the streets of Bujumbura while driving his kids to school.

The event of today is the continuation of different assassination events of different high ranking members of the army being killed in the streets of Burundi by unknown gunmen.

This has come when the mediation efforts are taking place in the Northen City of Tanzania, Arusha under the leadership of the former Tanzania President Benjamin Mkapa.
Ratio segregation, Tutsi & hutu
 
Si sawa kusema kwamba Warundi asili yao ni Kigoma au Ngara, ila ni sahihi kusema Warundi na Waha au baadhi ya watu wa Ngara ni jamii moja. Hawakuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine hadi waitwe wa asili fulani. Waliochora mpaka wakati wa kugawana maeneo ya kiutawala waliigawa jamii moja kuwa nchi mbili tofauti. Hali kama hii unaikuta kila mahali mpakani katika nchi zilizotawaliwa na kugawanywa na wakoloni. ndiyo maana kuna wajaluo wa Tanzania na kenya, Wamaasai wa tanzania na Kenya, Wamakonde...etc
safi sana umeandika kiusahihi kabisa...
 
Mkuu umeshamaliza kondomu ulizopewa bure na paka ili ukadumishe zinaa, ? Ama kweli, wajinga ndio waliwao!
hebu acha utani bana! hebu niambie Mh. Mkapa mmemfikisha wapi na siasa zenu za kikabila?
 
hebu acha utani bana! hebu niambie Mh. Mkapa mmemfikisha wapi na siasa zenu za kikabila?
Niache utani vip?murutongore kutwa nzima ya jana na leo anaturingishia boksi za kondomu alizopewa bure. Tena akatuambia mchambawima1 yupo kimya jamvini anamalizia za kwake. Ninaimani umeshazimaliza, hongera na karibu jamvini mkuu.
 
haya umeeleweka! na Mh. Mkapa vipi? mmemfikisha wapi?
 
haya umeeleweka! na Mh. Mkapa vipi? mmemfikisha wapi?
Mkapa yupo lushoto ametulia tu. Hana maneno mengi mzee wa watu. Mungu amuongezee miaka mingi ya kuishi ili aishuhudie Burundi yenye maziwa na asali hapo baadae kidogo.
 
Mkapa yupo lushoto ametulia tu. Hana maneno mengi mzee wa watu. Mungu amuongezee miaka mingi ya kuishi ili aishuhudie Burundi yenye maziwa na asali hapo baadae kidogo.
ah wapi! namshauri aende taratibu na nyie watu... kumbuka nyie ndio mlio mzeesha Mzee wetu Nyerere(RIP) pamoja na Tata Mandela(RIP) au unafikiri tutasahau kirahisi hivyo?
 
Back
Top Bottom