Buriani Zackaria Hanspope

Hivi unaelewa tofauti ya chanjo na dawa?

Uliwahi kusikia kuna chanjo ya malaria?

Umewahi kusikia mtu mwenye chanjo ya malaria amekufa kwa malaria?

Jifunze zaidi kwanza uongeze maarifa.
Uache ubishi na Ngonjera zako, kama hutaki kuchanja kaa kimya mbona waliochanja hatuwasikii wakiwazodoa wasiochnja?
 
Kupitishwa kwa dharura haimaanishi si bora au si salama. Kuna dawa kibao zilifanyiwa majaribio yote na kupitishwa, lakini baada ya miaka mingi sokoni Ikatolewa sababu ya madhara. Dawa nyingi za ukimwi ziliokuwa zinatumika mwanzo haiztumiki tena leo, sababu zimekuwa na madhara makali.
Umesema teknolojia imekuwa sasa kulikuwa na haja gani ya kuipitisha kwa dharula?
 
Kwani baada ya mahojiano mtu hawezi kuchanjwa? Kwani chanjo inahitaji maandalizi ya mwaka, si masaa tu? Unashindwa kuelewa nini hapo mkuu.
Asingeweza kuchanjwa akiwa ICU wanasema inazidisha ugonjwa ,hawachanji kama tayari uko na covid 19,mpaka upone kabisa ndio watakuchanja, na kumbuka wanasema amekaa karibia mwezi hospitali
 
R.I.P , huyu si ndie alikuwa anatuhumiwa kutaka kuua viwanda vya sukari nchini kwa kuingiza sukari reject (repackaged) toka Brazil, au sio huyu?
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom