Buriani Zackaria Hanspope

Hivi unaelewa tofauti ya chanjo na dawa?

Uliwahi kusikia kuna chanjo ya malaria?

Umewahi kusikia mtu mwenye chanjo ya malaria amekufa kwa malaria?

Jifunze zaidi kwanza uongeze maarifa.
Hivi unaelewa tofauti kati ya Chanjo na Dawa? Uliwahi kuskia kuna chanjo inayokinga kwa asilimia 100? Ukiambiwa chanjo ina efficacy ya 90% unaelewa maana yake? Upumbavu mwingine ni wa kujitakia.
 
Wakati uviko umeniweka kitandani wiki 5 huyu mzee nae nikasikia anaumwa, hata siamini nimeponaje na huyu mzee ambaye alikuwa anapata huduma bora kuliko mimi ameenda, kiukweli delta imenitesa na hata siaminj nimeponaje, nimepita kwenye bonde la utuli wa mauti.
Pole sana ndugu yangu. Jipe moyo mkuu. Ni wengi wamepoteza maisha lakini watu wanalichukulia hili suala kwa ushabiki wa kijinga kabisa.
 
Kwani baada ya mahojiano mtu hawezi kuchanjwa? Kwani chanjo inahitaji maandalizi ya mwaka, si masaa tu? Unashindwa kuelewa nini hapo mkuu.
Ficha upumbavu wako basi? Chanjo haifanyi kazi kwa mtu ambaye tayari ni mgonjwa. Infact chanjo inahitaji wiki tatu mpaka nne (baada ya sindano ya pili kama siyo ya sindano moja) ili ianze kufanya kazi.
 
Ficha upumbavu wako basi? Chanjo haifanyi kazi kwa mtu ambaye tayari ni mgonjwa. Infact chanjo inahitaji wiki tatu mpaka nne (baada ya sindano ya pili kama siyo ya sindano moja) ili ianze kufanya kazi.
Utata wote unaoizunguka chanjo hautokani na kitu chochote bali ujinga. Serikali ilitakia kutia nguvu nyingi kuelimisha watu juu ya hili. Sasa huyu yupo JF. Vipi asiyejua kusoma na kuandika?
 
Tusisahau kua huyu mzee alikua amechanja na bado covid imeondoka nae. Utasikia ngonjera za ukichanja inapunguza maumivu ama kulazwa ama vifo, sasa huyu mzee kafariki vipi na alikua amechanjwa?

Nimeona chats zake na Msingwa msemaji wa serikali akilalamika kwamba ugonjwa unatesa sana huku wataalam wa chanjo wanakwmabia ukichwanjwa

Faragha ya Msigwa na Hans imevujaje

Msigwa na umaarufu wake alishindwa kwenda kumwona mgonjwa anaishia kumjulia hali kwa whatsapp?
 
Tusisahau kua huyu mzee alikua amechanja na bado covid imeondoka nae. Utasikia ngonjera za ukichanja inapunguza maumivu ama kulazwa ama vifo, sasa huyu mzee kafariki vipi na alikua amechanjwa?

Nimeona chats zake na Msingwa msemaji wa serikali akilalamika kwamba ugonjwa unatesa sana huku wataalam wa chanjo wanakwmabia ukichwanjwa hutateseka.View attachment 1932771
Dah..vyeo hivi..Msigwa anamwita Hans Poppe Kaka!!😳😳
 
Yaani wa bongo mmeleta ushabiki wa mpira na wasiasa kwenye chanjo. Chanjo ni suala la kisayansi. Huwezi okotezaokoteza points huku na huko.

Lakini mmeligeuza kuwa ushabiki waliochanja dhidi ya wasiochanja. Ni ujinga mkubwa sana.
Kama si siasa basi hadi sasa hizo chanjo zingekuwa bado zinaendelea na majaribio.
 
Sasa mbona zimepitishwa kidharula? nazungumzia majaribio ya chanjo.
Kupitishwa kwa dharura haimaanishi si bora au si salama. Kuna dawa kibao zilifanyiwa majaribio yote na kupitishwa, lakini baada ya miaka mingi sokoni Ikatolewa sababu ya madhara. Dawa nyingi za ukimwi ziliokuwa zinatumika mwanzo haiztumiki tena leo, sababu zimekuwa na madhara makali.
 
Back
Top Bottom