X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,667
- 12,238
- Thread starter
- #21
r.i.pR.I.P
r.i.pR.I.P
Ndio maana hapo mwanzo nimesema hii ni special case kwasababu ni member wa jf.mh...kwa upande wangu nimeipost hii ili kutoa taarifa kwa ndugu jamaa wa karibu wanaomfaham tujumuike kumuombea...na kama nilivyoandika hapo juu kuwa nilimfahamu kupitia jf hivyo ninaamini kuna marafiki wengine wengi ambao wapo humu waliokuwa wanafahamiana nae
ama pengine dunia inaenda mwisho...yani hadi watoto siku hizi wameshazoe taarifa hizi...sio kama enzi zile msiba kwa mwezi mara moja...lakini siku hizi bwana kila dakikaNdio maana hapo mwanzo nimesema hii ni special case kwasababu ni member wa jf.
Nilikuwa najaribu kuwaza kwanini sasa hivi Kuna nyuzi nyingi za tanzia.
Duh hatari sana. Tanzia nilizoona kuanzia jana hapa JF ni nyingi sana.
Rest In Eternal Peace.
ndio nini hiko
ni hudhuni sana kwakweliDuhhhh....
Vijana wanakufa sana kuliko wazee.
Tumepoteza nguvu nyingine ya taifa.
Apumzike kwa amani
Nasikia tu delta, najaribu kuunganisha na hali inayoanza kuonekana humu ndani, hizo Tanzia ni coincidence tu au kuna force ya delta ?ndio nini hiko
ndio...niliwahi kuombaga msaada juu ya housing ya laptop yangu kuna member akaniunganisha nae sasa siwezi kumjumuisha huyo member kuwa ndio mwenyewe ama lah...huyo member ndie alie nielekeza ofisini kwa paul na kunipatia namba za paul pia..."ebu wasiliana na paul namba ni xxxxxxxxx"Ulifahamiana nae Jamii Forums ila haujui ID yake ?
Kuna kipindi mataga walikuwa wanaulizia tanzia kwanini zimepotea baada ya kifo cha yule political conman.Duh hatari sana. Tanzia nilizoona kuanzia jana hapa JF ni nyingi sana.
Rest In Eternal Peace.
Hapana, watu wanatake advantage na hii corona kila msiba wanatangaza. Kelele za corona zikiisha wanakaa kimya utadhani watu hawafi tena.ama pengine dunia inaenda mwisho...yani hadi watoto siku hizi wameshazoe taarifa hizi...sio kama enzi zile msiba kwa mwezi mara moja...lakini siku hizi bwana kila dakika
hapo sasa nimekuelewa....ni kama wanania ya kuriseup tention...dah...technolojia imekuja muda ambao haukuwa muafaka kabisaHapana, watu wanatake advantage na hii corona kila msiba wanatangaza. Kelele za corona zikiisha wanakaa kimya utadhani watu hawafi tena.
Yes mkuu nilimaanisha hivyohapo sasa nimekuelewa....ni kama wanania ya kuriseup tention...dah...technolojia imekuja muda ambao haukuwa muafaka kabisa
MIMI nimepata taarifa leo...kama unaijua account yake anayotumia humu ebu tutajia mkuuAmefariki lini mkuu
Inaweza ikawa ni moja kati ya hizi id mbilindio...niliwahi kuombaga msaada juu ya housing ya laptop yangu kuna member akaniunganisha nae sasa siwezi kumjumuisha huyo member kuwa ndio mwenyewe ama lah