TANZIA Buriani Paul Buchira Katamuzi - (CATAUX Computer. co)

secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
5,206
2,000
Kuna kipindi mataga walikuwa wanaulizia tanzia kwanini zimepotea baada ya kifo cha yule political conman.

Sijui walitaka baada ya kufa tanzia ziendelee!!!
Hawakujua kuwa corona unakuja kwa waves tofauti tofauti.

Ila aliyewaroga mataga aliwaweza sana.
Ww puuzi kabisa conman ni Baba yako....
 

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
5,514
2,000
Mataga wataendelea kuwa hivyo hivyo. Mchawi wao tulimzika Chattle mwanzoni mwa mwaka huu. Wa kuwagangua hayupo mama D
Kuna kipindi mataga walikuwa wanaulizia tanzia kwanini zimepotea baada ya kifo cha yule political conman.

Sijui walitaka baada ya kufa tanzia ziendelee!!!
Hawakujua kuwa corona unakuja kwa waves tofauti tofauti.

Ila aliyewaroga mataga aliwaweza sana.
 

Inanambo

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
3,556
2,000
Nasikitika sana kuwatangazia kifo cha mwanajamiiforums Paul Buchira Katamuzi sijajua kuwa humu alikuwa anatumia jina gani ila alikuwepo na mara nyingi alikuwa anaizungumzia ofisi yake {CATAUX COMPUTER} iliyokuwa inahusika na ufundi kompyuta ama simu na uuzaji wa vifaa vya simu na kompyuta iliyopo pale mwenge.

Leo imekuwa siku ngumu sana kwangu na watu wako wa karibu. A very humble friend, hard worker, rafiki usiye na mAkuu. Tumefanya kazi nyingi kwa muda mrefu, siamini kama umeondoka kaka. Kweli duniani tunapita tu.

I know you are in a better place and one day we shall meet again, gone, but never forgotten.
Rest in Soul brother.


Chanzo cha mimi kufahamiana na marehe Paul...ni hapa hapa jamiiforums...laptop yangu ilipata tatizo nikampelekea jamaa alinipokea vizuri sana pale ofisini kwake {cataux computer} Mwenge alishindwa kuitengeneza komputer yangu na aliniambia tu kuwa ile kompyuta isinge faa kutengenezeka.

Paul Buchira Katamuzi mwenyezi Mungu akupe pumziko zuri uko ulipo nina amini kuwa umetangulia kutuwekea nafasi tutakukumbuka sana
😭😭😭Pole Sana Mkuu. Marehemu anaonekana bado Kijana kabisa. Kumbe kufa si Umri mrefu!! Wazee wanabaki Vijana wanakufa. RIP Paulo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom