TANZIA Buriani Paul Buchira Katamuzi - (CATAUX Computer. co)

mh...kwa upande wangu nimeipost hii ili kutoa taarifa kwa ndugu jamaa wa karibu wanaomfaham tujumuike kumuombea...na kama nilivyoandika hapo juu kuwa nilimfahamu kupitia jf hivyo ninaamini kuna marafiki wengine wengi ambao wapo humu waliokuwa wanafahamiana nae
Ndio maana hapo mwanzo nimesema hii ni special case kwasababu ni member wa jf.
Nilikuwa najaribu kuwaza kwanini sasa hivi Kuna nyuzi nyingi za tanzia.
 
Ndio maana hapo mwanzo nimesema hii ni special case kwasababu ni member wa jf.
Nilikuwa najaribu kuwaza kwanini sasa hivi Kuna nyuzi nyingi za tanzia.
ama pengine dunia inaenda mwisho...yani hadi watoto siku hizi wameshazoe taarifa hizi...sio kama enzi zile msiba kwa mwezi mara moja...lakini siku hizi bwana kila dakika
 
Duh hatari sana. Tanzia nilizoona kuanzia jana hapa JF ni nyingi sana.

Rest In Eternal Peace.
images (86).jpeg
 
Ulifahamiana nae Jamii Forums ila haujui ID yake ?
ndio...niliwahi kuombaga msaada juu ya housing ya laptop yangu kuna member akaniunganisha nae sasa siwezi kumjumuisha huyo member kuwa ndio mwenyewe ama lah...huyo member ndie alie nielekeza ofisini kwa paul na kunipatia namba za paul pia..."ebu wasiliana na paul namba ni xxxxxxxxx"
 
Duh hatari sana. Tanzia nilizoona kuanzia jana hapa JF ni nyingi sana.

Rest In Eternal Peace.
Kuna kipindi mataga walikuwa wanaulizia tanzia kwanini zimepotea baada ya kifo cha yule political conman.

Sijui walitaka baada ya kufa tanzia ziendelee!!!
Hawakujua kuwa corona unakuja kwa waves tofauti tofauti.

Ila aliyewaroga mataga aliwaweza sana.
 
ama pengine dunia inaenda mwisho...yani hadi watoto siku hizi wameshazoe taarifa hizi...sio kama enzi zile msiba kwa mwezi mara moja...lakini siku hizi bwana kila dakika
Hapana, watu wanatake advantage na hii corona kila msiba wanatangaza. Kelele za corona zikiisha wanakaa kimya utadhani watu hawafi tena.
 
Hapana, watu wanatake advantage na hii corona kila msiba wanatangaza. Kelele za corona zikiisha wanakaa kimya utadhani watu hawafi tena.
hapo sasa nimekuelewa....ni kama wanania ya kuriseup tention...dah...technolojia imekuja muda ambao haukuwa muafaka kabisa
 
Huyu jamaa kitambo aliwahi niuzia RAM.
2GB. Mwaka 2012.
Kipindi hicho alikuwa anafanya kazi na makampuni ya kusimamia Minara.
Wakiwa na program yao ya NARA.

Sisi wakazi wa Kelege, Mapinga, Bunju B , kwa Jumbe, kwa Baharia, kwa wagogo, Boko, Basihaya, Nyaishozi.
Kwa pamoja tunamuombea ROho ilale Pema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom