Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
I'd imekuwa nini...... Nampenda paskali ajili falaUngeyasema haya kabla hujabadiri ID mbona hukuwa na ujasiri huo. Naona ile Sikh imekufanya uwe bayana sasa.
I'd imekuwa nini...... Nampenda paskali ajili falaUngeyasema haya kabla hujabadiri ID mbona hukuwa na ujasiri huo. Naona ile Sikh imekufanya uwe bayana sasa.
Sijakuelewa MkuuI'd imekuwa nini...... Nampenda paskali ajili fala
wewe ni wa kusamehe tu, hiki siyo kipindi cha kukumbushia hayo. R..I.P Mwalimu Kaijage
Nina wasiwasi na umuri wako labda bado mtoto mdogo, kama mkubwa itakuwa na tatizo la malezi,
Huu Uzi wa msiba elewa hilo kwenye msiba hata afe usiyempenda masikitiko muhimu maana hamtaonana tena.
ipo ndio maana nimebadili, ila samahani mimi sio Mwalimu.
Huu ni uzi wa Tribute kwa Mwalimu Kaijage.
Naomba tuuheshimu.
Natanguliza Shukrani ya asante kwa kunielewa .
RIP Mwalimu Kaijage.
Paskali