Buriani Mwalimu Kaijage

Buriani Mwalimu Kaijage

Acha chuki na waha mkuu haitokufikisha popote,kama unaamini kunakupigana vyombo.Unatofauti gani na wanaoamini katika nguvu za vyombo?.
mkuu,nenda kajenge pale kigoma ujiji uone kama utaishi kwa siku mbili
 
ACT ni chama kinachopigani wanyonge!? Halafu na Habibu awepo!? mmh, sijui hope itabidi nitafute dictionary na kujifunza upya Kiswahili. labda haya maneno "wanyonge na wazalendo" yana maana tofauti. Well asante kwa taarifa, tangulia mwalimu Mwinyage.
 
Mimi nilianza kumsikia akiwa msikikizaji mzuri na mtuma salamu redio kwizera.Mpaka alichaguliwa kuwa Rais wa vilabu vya watuma salamu nchi nzima kupitia Redio Kwizera FM.Wakati huo alikuwa Mwilamvya sekondari.Niliguswa alipokuwa akialikwa kwenye mada za redioni hasa kipindi cha Asubuhi njema upande wa mada.
Rip Mwalimu J.Kaijage.
 
R.I.P mpambanaji, sote tu jiani na duniani tuna pita.
 
Mwalimu kaijage alikuwa mtu mwenye uwezo binafsi wa ajabu..mara ya mwisho tulionana diamond jubilee tukizindua Chama chetu pedwa hakika Chama kimepoteza mpambanaji R.I.P mwalimu
 
RIP Mwl. Kaijage, ingawa sikumfahamu, but nasikia alikuwa ni mmojawapo wa wasaliti. Mungu amlaze mahali pema peponi
 
KASHOROBANA post: 18526898 said:
Tuko msibani ndugu, uzi huu unatueleza kuwa mwalimu kaijage amefariki, tusilete kebehi pia siasa mda wote.

Poleni wafiwa, RIP Mwl Kaijage
Nimenukuu siasa za mtoa hoja.
 
Mimi huwa Muoga sana hasa pale tunapokebehi ama Afya ya mtu au Mtu ambaye tayari keshatangulia mbele ya haki, kwani hawana control/ power just to avoid them.

hii ni kwa kuwa sisi kama binadamu kwa hayo mawili apo juu hakuna atakaye chomoka na hasiguswe na yote ayo mawili
Unapoambiwa ujitengenezee pepo njema hapa duniani maana yake ni kuishi kwa njia ambayo ukiugua au hata ukifa zisitokee kebehi dhidi yako.
 
Hatimaye nimemfahamu Kaijage aliyewahi kuwatabiria wengine kifo
1479449415510.jpg
ulale kwa amani mipango ya Mwanadamu site ya Mungu
 
Oyaa.mwenzetu jina umebadilisha vipi?
Mkuu Mjingawewe, usiwe kama mjinga, sijabadili jina, Pasco ni kifupi cha Pascal, Paschal, Paskali, Pasquale, Pasca, Pasqwa etc. Nilikuwa natumia kifupi, sasa natumia jina kamili kwa kirefu.
Paskali
 
Mkuu Mjingawewe, usiwe kama mjinga, sijabadili jina, Pasco ni kifupi cha Pascal, Paschal, Paskali, Pasquale, Pasca, Pasqwa etc. Nilikuwa natumia kifupi, sasa natumia jina kamili kwa kirefu.
Paskali
Yaani kuna sehemu.ya kubadilisha jina humu jf.ndo maana yangu.
 
Najaribu kuweka wazi unafiki wa habibu mchage..asijifanye analia lia hapa..kumbe kuna wengine alikuwa anawadhiki wagonjwaa watakufa kesho..

Badala yake wanaotangulia..hakuwategemea. R.I.P kaijage ila habibu mchage huna uhalali wowote wa kuandikia tanzia hii .. Shame on you.
Nina wasiwasi na umuri wako labda bado mtoto mdogo, kama mkubwa itakuwa na tatizo la malezi,

Huu Uzi wa msiba elewa hilo kwenye msiba hata afe usiyempenda masikitiko muhimu maana hamtaonana tena.
 
mkuu,nenda kajenge pale kigoma ujiji uone kama utaishi kwa siku mbili
Unachotaka kuniambia kigoma ujiji hakuna majumba au waliojenga wote ni wachawi?
Umeambiwa uache chuki na waha au na wewe ni mchawi?
 
Back
Top Bottom