Buriani Mwalimu Kaijage

Buriani Mwalimu Kaijage

Poleni Wafiwa kwa M/mungu ni marejeo yetu sote kikubwa ni maandalizi
 
Pamoja na hayo ya ACT WAZALENDO, mengi zaidi aliyafanya akiwa chadema kabla ya kujiunga na wasaliti. Mungu awape uvumili na subira ndugu na jamaa wote kwa kumpoteza mtu kipenzi. R.I.P KAMANDA.
Mkuu usiwaamini sana wanasiasa.
binafsi toka chadema walipompokea lowasa nilipigia mstari kwamba siasa za nchi bila unafki mambo hayaendi.....japo nilimpigia kura kwakuwa niliichoka ccm!.
 
Duh, Poleni sana ACT Wazalendo, Hakika Mwalimu àlikuwa mwana JF mzuri sana, alichangia mada kwa hoja na siyo kishabiki
 
Habibu mchage siku act wanazindua kampeni za uraisi pale mbagara rangi tatu..alimshambulia sana mheshimiwa lowassa kuwa mgonjwa wa dege dege sijui kifafa..

Ilimlazimu kiongozi wake mkuu bwana zito kabwe aombe radhi pale pale kutokana na maneno ya kifedhuri ya habibu mchage.

Lakini mungu wa isaka ..mungu wa yakobo.. Ni mwema...lowwasa uliemtukana mgonjwa..yupo had Leo anadundaaa...wanaokufa wale ambao hukuwaza kabisa kama watakuwafa...

Pengine you are next.... Weka Akiba ya maneno dogo....afya ya mtu ni maajaliwa ya mwenyezi mungu.
 
Pamoja na hayo ya ACT WAZALENDO, mengi zaidi aliyafanya akiwa chadema kabla ya kujiunga na wasaliti. Mungu awape uvumili na subira ndugu na jamaa wote kwa kumpoteza mtu kipenzi. R.I.P KAMANDA.
CHADEMA ubinadamu ulishawatoka
 
wewe ni wa kusamehe tu, hiki siyo kipindi cha kukumbushia hayo. R..I.P Mwalimu Kaijage
 
Poleni ndugu wa marehemu,poleni ACT na R.I.P Mwl Kaijage. Tupe ratiba ya maziko ni Bukoba au Kigoma?
 
Pamoja na hayo ya ACT WAZALENDO, mengi zaidi aliyafanya akiwa chadema kabla ya kujiunga na wasaliti. Mungu awape uvumili na subira ndugu na jamaa wote kwa kumpoteza mtu kipenzi. R.I.P KAMANDA.

Mimi huwa Muoga sana hasa pale tunapokebehi ama Afya ya mtu au Mtu ambaye tayari keshatangulia mbele ya haki, kwani hawana control/ power just to avoid them.

hii ni kwa kuwa sisi kama binadamu kwa hayo mawili apo juu hakuna atakaye chomoka na hasiguswe na yote ayo mawili
 
wewe ni wa kusamehe tu, hiki siyo kipindi cha kukumbushia hayo. R..I.P Mwalimu Kaijage
Najaribu kuweka wazi unafiki wa habibu mchage..asijifanye analia lia hapa..kumbe kuna wengine alikuwa anawadhiki wagonjwaa watakufa kesho..

Badala yake wanaotangulia..hakuwategemea. R.I.P kaijage ila habibu mchage huna uhalali wowote wa kuandikia tanzia hii .. Shame on you.
 
Due inaskitisha sana tunapo ondokewa na watu ambao bado tunawaitaji front line ya mapambano! R.i.p Mwl kaijage!!!
 
Back
Top Bottom