Buriani Mwalimu Kaijage

Buriani Mwalimu Kaijage

Nina wasiwasi na umuri wako labda bado mtoto mdogo, kama mkubwa itakuwa na tatizo la malezi,

Huu Uzi wa msiba elewa hilo kwenye msiba hata afe usiyempenda masikitiko muhimu maana hamtaonana tena.
Habibu mchage hana uadilifu wa kuandika tanzia
 
Mungu aiweke mahari panapostahili roho ya marehemu mwl kaijage,

Sisi wote tutakufa tutaenda kwake muhimu kukaa vizuri na Mungu tukiwa bado duniani

Ili tukiondoka tufuatwe na matendo mema.
 
Habibu mchage hana uadilifu wa kuandika tanzia
Anzisha Mada nyingine ya kumuhusu Habibu mchage na uadilifu wake lakini hapa ni habari ya msiba,
Kitu ambacho hakuna mwanadamu atakayekwepa.
 
1479451569189.jpg
 
Hivi mwalimu kaijage hakuwa mmoja wa watu waliomsema lowasa kwamba ni mgonjwa na ........???????
Ni swali tu.
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Mungu Ailaze Mahala Panapo Stahiri Roho Yake
 
Doh... RIP Mwalimu...

Sitaki kuamini kama huyu naye alimsema vibaya mzee Lowassa...
 
58683f5156d9a4b798c8610562531749.jpg


BURIANI KAIJAGE, BURIANI KILEMBWE.

Kalale pema peponi Mwalimu Joshua Kaijage Kilembwe ama Mwalimu Kaijage kama ulivyofahamika Sana Hapa Duniani.

Mapambano ya kudai haki, kupinga dhuruma na kukataa uonevu na ukandamizaji vilituunganisha tukawa wanachama wa Chama kimoja, Chama kidogo, kipya na makini. Chama cha Act Wazalendo.



Dahh. Niseme nini kaijage? ...
Niseme namna tulivyokusafirisha mputa mputa uje kujiunga na timu ya ziara ya kukitambulisha Chama iliyoanzia Songea mwaka Jana ukaja kuongeza nguvu katika kuhabalisha umma kupitia mtandaoni? ...
.......

Pole Mkuu,
Ila kwa kuwa wewe ni kiongozi, jitahidi kujifunza matumizi ya "R" na "L".....angalia hizo red fonts ..
R.I.P Marehemu,
 
Tuko msibani ndugu, uzi huu unatueleza kuwa mwalimu kaijage amefariki, tusilete kebehi pia siasa mda wote.

Poleni wafiwa, RIP Mwl Kaijage

Tuweke akiba ya maneno...

RIP Mwalimu Kaijage

15037103_659503767552726_826653959631842979_n.jpg
 
Mkuu Mjingawewe, usiwe kama mjinga, sijabadili jina, Pasco ni kifupi cha Pascal, Paschal, Paskali, Pasquale, Pasca, Pasqwa etc. Nilikuwa natumia kifupi, sasa natumia jina kamili kwa kirefu.
Paskali
Huyu jamaa kumbe alikuwa anamsema vibaya chaguo letu

RIP Ticha Kaijage, sote tuko njia moja.

15037103_659503767552726_826653959631842979_n.jpg
 
Huyu jamaa kumbe alikuwa anamsema vibaya chaguo letu

RIP Ticha Kaijage, sote tuko njia moja.

15037103_659503767552726_826653959631842979_n.jpg

Basi nanyie maUpawa sijui upinzani uchwara wekeni maneno mliyokuwa mnamsema chaguo lenu Yule mzee.
Nanyie wekeni akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom