Buriani Mhe. Komba wa 'Joka la kufugwa'

Buriani Mhe. Komba wa 'Joka la kufugwa'

Kwa kuongezea tu yule Komba wa enzi za Mwl Nyerere sio Komba ambaye alikuwa hivi sasa kabla ya mauti kumpata,aligeuka na kuwa kibaraka wa mafisadi,hata utu wake aliuweka rehani,akaishiwa hata hekima na kubaki kama mwendawazimu,kinywa chake kilijaa uchafu na dharau kwa wananchi wa nchii hii,nadhani fedha zilimpofua macho,unaweza kufanya mazuri lukuki lakini jambo moja tu baya likakuondolea sifa zote,Komba atakumbukwa na mafisadi wa CCM na sio wananchi wote,alitutakia mabaya tulipodai serikali tatu,akadai ataingia msituni kabla ya kupata hizo serikali tatu,na kujiapiza maneno mambo mengi ungedhani yeye ndie Mungu.Kifo cha Komba na kiwe fundisho kwetu sisi wanaadamu,yatupasa tuwe wanyenyekevu wakati wote hata tukipata madaraka,pia yatupasa kuchunga vinywa na ndimi zetu,neno likitoka halirudi,na neno baya au lenye shari kamwe halisahauliki,maneno ya marehemu aliyokuwa anayatoa mle bungeni yalikuwa chukizo kwa watu wengi huku yakifurahiwa na wachache walioshiba.Tusijisahau sana kama hao wengine waliobaki wanaodai eti milioni 10 ni hela ya mboga,wengine eti nyoka wa makengeza,wengine wanaodai sisi ni wauza juisi tu.Dharau na jeuri ya pesa haileti heshima bali ni sifa za kijinga,na mwisho wake huwa mbaya na kuwa chukizo.

sasa hivi yupo msitu wa maraika wa maswali.mungu huyu mwacheni hatawale roho
 
Mimi nikikumbuka MAKONDA alivyo mpiga mzee wetu warioba natamani makonda ateseke sana kabla ajafa. Akipanga safari kwenda kutubu akitembea kwa magoti nitamsamehe
 
"Amin kavimbavimba kama joka jike,shaba kichwani,ondoa majeshi yako sasa unaona,umeruka mikojo,umekanyaga mavi,sasa tuliue joka joka idi Amin tuliue joka,joka mtu".
 
"Sasa tunavyo vita wananchi muelewe,vita vya kupambana na wasio lipa kodi,hata ukikwepa leo usidhani umepona,kimbunga kipo nyuma kitakuja kukupitia"
Baadhi ya tungo zake
 
Lile joka lenye makengeza siku liki R.I.H humu jf sijui kuta kuaje!
 
Hivi si ndio huyu aliyesema serikali 3 zikipita ataingia msituni!? Thank God, nchi iko salama sasa hata kama kutakua na mabadiriko ya kimfumo na kiutawala.
 
Ushabiki wa kisiasa usikupeleke kwenye kukufuru.Kila nafsi iliyozaliwa itaonja umauti hakuna atakaepaa.Capt John Komba alikuwa mwanasiasa wa kawaida ndani ya CCM akiwatumikia vyema wananchi wa jimbo la Mbinga Magharibi katika siasa za kawaida za kidemokrasia sasa kinachofanya wewe na majuha wenzako mushangilie nini?
Hapo nilipobold sijakuelewa kwa sababu marehemu hakupenda demokrasia inayokwenda kinyume na matakwa ya sisihemu mfano ni pale aliposema kama wananchi watapingana na maamuzi ya BMK yeye atakuwa wa kwanza kuingia msituni!Pia alimtukana jaJI warioba wazi wazi huyo ndo mwanademokrasia au ubongo wako ndo unavyokutuma?Hata mleta mada anatudanganya Komba hakuwa mstari wa mbele kule vitani hata siku moja.

Hadith tamu saaaana kesho njoo na ile ya chenge na mama tibaijuka km hedhi zile mama au baba aliwai kutumia mill 10kununua mboga
 
Upumzike kwa Amani Captain Komba... Uwasamehe wote wanaotumia kifo chako kukuhukumu kwa kejeli bila kujali maumivu familia yako inayopata... ulikua mwanasiasa ambae kama mwanasiasa mwingine yoyote ulitetea upande wako...Tanzania itakukumbuka daima
Atakumbukwa na Familia yake na Chama chake. Taifa litamkumbuka Komba wa JWTZ, Komba aliyefariki atakumbukwa na taifa kama mtaka shari na mtakia mauti kwa wengine.
 
Pumzika panapostahili komba
Hiyo ndiyo inayotakiwa wakati wote tutamke si kupamba na kuponda bila sababu za msingi. MUNGU ampe marehemu kile anachostahili kwa matendo, maneno na mawazo alipokuwa hajafa. AMINA
 
Back
Top Bottom