Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,564
- 109,103
Ushabiki wa kisiasa usikupeleke kwenye kukufuru.Kila nafsi iliyozaliwa itaonja umauti hakuna atakaepaa.Capt John Komba alikuwa mwanasiasa wa kawaida ndani ya CCM akiwatumikia vyema wananchi wa jimbo la Mbinga Magharibi katika siasa za kawaida za kidemokrasia sasa kinachofanya wewe na majuha wenzako mushangilie nini?
Sababu ni kwamba amekufa Komba, Warioba yuko hai.