Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,478
- 11,398
Mkuu Kichuguu habari hope upo salama!Habari nzito sana na nasema kabisa kuwa hii siyo bure; ni vigumu mtu kuniambia kuwa huu ni ugonjwa wa kawaida nikakubali. Huyu dada alikuwa mzima kabisa mpaka pale walipomzulia lile skendo na kuzuiwa asiizungumzie. Kuanzia hapo ndipo tukasikia hali yake siyo nzuri mpaka leo; niliwahi kusema kuwa hiyo itakuwa ni "polonium-210," and I still believe so.
Nasikia katika kinyang'anyiro cha madaraka ndani ya CCM polonium-210 ni ya kawaida sana, na yeye siyo victim wa kwanza. Baba yake alifanya makosa sana kumzuia wakati ule, ni afadhali angesema yaliyokuwa moyoni mwake kuliko kufariki nayo na hivyo kuwaacha wabaya wake wakifurahia.
Yaani msiba huu umeniboa kweli kweli, ngoja nifunge ofisi kurudi nyumbani kupumzika kwa vile hakuna nitakalofanya la maana tena.
MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA DADA NA MBUNGE WETU AMINA.
I guess ndiyo maana Zitto hataki kuliongelea hili kwa vile anajua utata wake. Na kwa matukio haya, nadhani msimamo wake ni sahihi kabisa kabisa.
Nipo napitia baadhi ya ID's daa wengine nahisi no more maana last seen zao ni kitambo sana either wamebadilisha IDs au wametutoka ila kuna Huyu mkuu Kichuguu yupo active sana jukwaani ila wengi wao ni huzuni!Nikiwa na miaka 9 na miezii
How?sasa NCHIMBI sijui atajisikiaje na sijui kama atakuja kwenye msiba wa DADA YETU bi Amina
Shkamoo Babu🙏Ndiyo mheshimiwa...
Acha kufukua makaburi mkuuHow?
Enzi hizo.bwana emanuel nchimbi, je una la kuongeza?
Je jk aliamua kumtosa tuu huyu dada yetu hivi hivi?
Nimekuta mtu kashalifukua mkuuAcha kufukua makaburi mkuu
Marhaba dogo!!!Shkamoo Babu🙏
Alitajwa EX-Vice kuwa muongoza movie hii.Mbunge Wetu Amina Chifupa Amefariki.
Ina Lillah Wainaillah Rajioun.
Karma huwa haiachi mtu,huwezi kubaki salama.Alitajwa EX-Vice kuwa muongoza movie hii.
We mtanie wako tu.Mwaka huo ndiyo nimemaliza form six nampeleka dogo na jambazi letu shule ndege mdinya secretarybird huku akiuhadaa umma wa Jf ni mzee
AiseeEMANUEL NCHIMBI damu anayo MKONONI