lyinga chakula chochote cha kopo hata Liwe tundra ladha yake inakuwa tofauti kabisa na kitu freshMaharage ya makopo mshana siyapendi sijui hawa jamaa wanayapendea nini kwangu mimi huwa yananishinda kitu harage la mbeya ndani tui zito wee pembeni ubeche asikuambie mtu.
Halafu liwe limeungwa na nazi