Bunju-Posta Metro Line

Bunju-Posta Metro Line

Labda nikuambie kiufupi tu, NI kwamba HATUPANGIWI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni maneno ya mkubwa.
tapatalk_1545333028922.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku tutakapoacha kuwaza kutawala hayo yatawezekana..
 
Usije mtamanisha jiwe akabadili msimamo kuhusu kikokotoo ili apate hela ya kujengea hiyo makitu!!
 
Badala ya mwendokasi kwanini tusiweke Metro line kutoka Bunju Hadi Posta? Hii inawezekana kupita juu Kwa juu katikati ya barabara bila kuathiri magari ya kawaida. Train za umeme full automated bila dereva zitatumika. Station zinakuwa juu huko huko abiria wanapanda na kushuka kwa kidaraja juu ya barabara. Treni moja ni Sawa na mabasi ya mwendokasi manne au matano hivyo zinaweza kubeba watu 500-600 Kwa mara moja. Mfano wake ni hapo chini. Picha ya tatu ni stationView attachment 984917View attachment 984918View attachment 984919
This is perfect tatizo litakuja ktk mambo ya pesa. Siyo kama hatuna hasha...kipaumbele cha serikali ya awamu ya tano kwa sasa haiwezi kuanzisha mradi mkubwa kama huu kwa ghafla. Hapa consultation inaweza chukua miaka hata mitano mpaka allocation ya pesa au kufanikisha mkopo wa huu ujenzi. Ila kwa sasa ngoja mzee amalizie project zake kwanza.

Congo siyo Kongowe
 
Tunafikiria kupunguza watu kwenda Dar,fedha za miradi ya Dar zitaelekezwa kwingine ili watu wahamie huko kujenga ma jiji wengine..ova
 
Fikra na Akili za Kimasikini ndilo tatizo kuu la nchi nyingi za kiafrika. Hapo mtoa mada kama ulivyosema, nakuongezea jambo.

Kungeanzishwa Road Toll, serikali iwaite matajiri wetu wa ndani wawape Tenda ya kujenga barabara za juu, kitu kinaanzia Bunju mpaka Posta, Gomz mpaka Posta, Mbagala mpaka Posta, Mbezi mpaka Posta, wakimaliza kujenga wanapewa miaka 10 au mpaka 15 kuiendesha kurudisha gharama na kupata faida then serikali inakuja kuichukua kwa asilimia 80 na 20 anapata aliyejenga.

Sasa kuwa Tajiri nchi hii ishaonekana dhambi, kila kitu Serikali inataka ifanye yenyewe kwa asilimia 100. Neno la Mjenga nchi ni Mwananchi mwenyewe kwa Awamu hii sielewi maana yake ni nini.
We jamaa una akili sana! Tatizo viongozi wetu bado wana fikra za kijamaa .

Yaani ukitaka kujitolea kujenga jengo la shule mlolongo ni mrefu mpaka utakukatisha tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I agree with you me nimeona watu binafsi wakitaka kuweka lami barabara zao wakizuiwa na serikali had nilishangaa mno aisee. We need to change our mindsets wazo lako ni best

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado wana fikra za kizamani wanaogopa ukijenga barabara unaweza kuwa,na influence kwa wananchi kuliko mwakilishi kwa serikali.

Same kwa mp dewji kubaniwa kuimiliki simba kwa zaidi ya 51%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is perfect tatizo litakuja ktk mambo ya pesa. Siyo kama hatuna hasha...kipaumbele cha serikali ya awamu ya tano kwa sasa haiwezi kuanzisha mradi mkubwa kama huu kwa ghafla. Hapa consultation inaweza chukua miaka hata mitano mpaka allocation ya pesa au kufanikisha mkopo wa huu ujenzi. Ila kwa sasa ngoja mzee amalizie project zake kwanza.

Congo siyo Kongowe
Awamu ya tano kipaumbele ni miundo mbinu. Kuna sgr,madaraja, airports etc. Kwahio project kama hii wataipenda. Nina uhakika big boss akiiona hii ataifikiria.
 
Vipi leo uliandamana?
Mie sijawahi kufanyakazi serikalini au katika mashirika ya Umma! Ofisi yangu ipo ubungo stand nasukuma mkokoteni. Kwa mantiki hiyo najivunia kujiajiri cc cariha nishambebea mzigo wake na kuuweka katika bonge la Lexus yake akanipa mtonyo babu kubwa
 
Badala ya mwendokasi kwanini tusiweke Metro line kutoka Bunju Hadi Posta? Hii inawezekana kupita juu Kwa juu katikati ya barabara bila kuathiri magari ya kawaida. Train za umeme full automated bila dereva zitatumika. Station zinakuwa juu huko huko abiria wanapanda na kushuka kwa kidaraja juu ya barabara. Treni moja ni Sawa na mabasi ya mwendokasi manne au matano hivyo zinaweza kubeba watu 500-600 Kwa mara moja. Mfano wake ni hapo chini. Picha ya tatu ni stationView attachment 984917View attachment 984918View attachment 984919
Wazo zuri lakini nina wasiwasi fulani:

1. Kama itakua na njia moja tu itakayotumika kwenda na kurudi. Halafu kama treni moja ni sawa na basi tano za hizi mwendokasi wetu.

Hapo kitakachosaidi ni kupunguza muda wa safari kwa asilimia zisizozidi 25 tu.

Sababu ya kuhitimisha hivyo:

Kwa ile nyomi ya Gerezani - Kimara tunaona basi ndefu za brt zikiongozana full mchongoma zaidi ya basi nane au tisa wakati mwingine zikienda safari moja. Na wakati huohuo kuna nyingine zinakua zinaridi kufata nyomi ingine.

Hiyo metro line itakua safari moja yenye uwiano wa basi tano. Kwa speed ile ile isiyozidi 60km/h. Na itatumia muda mwingi sana kushusha na kupandisha abira kutokana na uwingi wake hasa wale wa njiani.

Kitakachosaidia kupunguza muda kidogo ni kwamba kutakua hakuna taa zitakazosimamisha usafiri baina ya kituo na kituo.

Naamini katika metro line ila ziwe katika mfumo huu huu wa njia za brt. Hizi zikienda..hizi zinarudi..

Hongera Mkuu kuleta hilo wazo.

Line zipo mbili, ya kwenda na kurudi. Zinafuatana kila dakika tano au kumi nyingine inafuata.
 
Viogozi wenyewe hawasafiri kwenda kugain mambo mapya kwa wenzetu we unadhani watakuwa na mawazo ya kuanzisha miradi yenye tija kama hiyo,
 
We jamaa una akili sana! Tatizo viongozi wetu bado wana fikra za kijamaa .

Yaani ukitaka kujitolea kujenga jengo la shule mlolongo ni mrefu mpaka utakukatisha tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa yangu nilikuwa nazungumza nae pia Ofisini kwangu alikuja akanambia swala hilo hilo la Ujamaa. Kwani hatuwezi kuuacha ili twende na spidi ya Dunia! Maana hao waliokuwa Wajamaa wenyewe walishaga badilika kitambo sana.

#SisiTunakwamiaWapiiii!!!!!?
 
Back
Top Bottom