Bunju-Posta Metro Line

Bunju-Posta Metro Line

Nimefarijika uliposema uwezo upo. Inawezekana kujenga kwa awamu. Kama tumeweza SGR hata hii tunaweza.
Uwezo upo, kinachotakiwa ni vipaumbele tu. Na kimsingi tuwe na watu wenye mawazo mnyambuliko. Tusiwe na watu wanaofikiri kivyao vyao. Yaani tuna Nchi yenye viongozi wanaoona kuwa mawazo yao ni zaidi ya wengine, too bad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio solution kabisa...hapa dawa ni watu watumikishe mayele kuhakikisha wanancbi wanasambaa kwenye mikka mingine sio kuja dar
 
Tunahtaji kufikiria project ka hyo inayo weza kutumika hadi miaka 30 ijayo to me mwendokasi ime prove failures imagine na jiji population inakuwa sasa hyo mwendokasi inaweza solve tatizo la usafiri. Yatupasa ka ni kufanya miradi iwe ya uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar leo ina watu 5.5m imagine miaka 15 ijayo itakapokuwa na watu 10m au 20m itakuwaje?
 
Hiyo sio solution kabisa...hapa dawa ni watu watumikishe mayele kuhakikisha wanancbi wanasambaa kwenye mikka mingine sio kuja dar
Mkuu miji mikuu dunia nzima inapokea watu wengi kuliko wanaotoka, na si kinyume chake.
 
Uwezo upo, kinachotakiwa ni vipaumbele tu. Na kimsingi tuwe na watu wenye mawazo mnyambuliko. Tusiwe na watu wanaofikiri kivyao vyao. Yaani tuna Nchi yenye viongozi wanaoona kuwa mawazo yao ni zaidi ya wengine, too bad

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipaumbele kipo kwenye usafiri wa kisasa Ila tumeopt BRT kwahio sio mbaya sehemu fulani ya mji tukaweka hizi Metro line
 
Kweli kabisa mana mwendokasi yenyewe kwa sasa haitoshi watu waliopo sasa hivi nahisi hata hyo morogoro road waje waweke hyo metro. Population inakuwa kwa kasi huku miundo mbinu rafiki haiongezwi imebaki Ile ya zamani
Dar leo ina watu 5.5m imagine miaka 15 ijayo itakapokuwa na watu 10m au 20m itakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu miji mikuu dunia nzima inapokea watu wengi kuliko wanaotoka, na si kinyume chake.
Ah sasa sie ndio lazima tufikiri tofauti bwana kwa sababu ata hizo nchi zingine bado pamoja na hiyo miunxo mbinu wanapata tabu. Cha msingi tuwarudishe watu shamba.
 
I agree with you me nimeona watu binafsi wakitaka kuweka lami barabara zao wakizuiwa na serikali had nilishangaa mno aisee. We need to change our mindsets wazo lako ni best
Fikra na Akili za Kimasikini ndilo tatizo kuu la nchi nyingi za kiafrika. Hapo mtoa mada kama ulivyosema, nakuongezea jambo.

Kungeanzishwa Road Toll, serikali iwaite matajiri wetu wa ndani wawape Tenda ya kujenga barabara za juu, kitu kinaanzia Bunju mpaka Posta, Gomz mpaka Posta, Mbagala mpaka Posta, Mbezi mpaka Posta, wakimaliza kujenga wanapewa miaka 10 au mpaka 15 kuiendesha kurudisha gharama na kupata faida then serikali inakuja kuichukua kwa asilimia 80 na 20 anapata aliyejenga.

Sasa kuwa Tajiri nchi hii ishaonekana dhambi, kila kitu Serikali inataka ifanye yenyewe kwa asilimia 100. Neno la Mjenga nchi ni Mwananchi mwenyewe kwa Awamu hii sielewi maana yake ni nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Bado hiyo kitu ipo Dubai kama umeenda Dubai ni kitu cha kawaida kabisa
 
Ah sasa sie ndio lazima tufikiri tofauti bwana kwa sababu ata hizo nchi zingine bado pamoja na hiyo miunxo mbinu wanapata tabu. Cha msingi tuwarudishe watu shamba.
Aisee....wanapata tabu gani?
 
Back
Top Bottom