Ila tunayoyafanya sasa london waliyafanya miaka 100 iliyopita , wote tunapitia njia ile kwa sasa uwezo hauturuhusu, tukisema tufanye haya sasa hivi wananchi tutahenyeka kweli kweli, wenzetu walikusanya fedha kwa njia haramu kama utumwa madini n.k kujenga nchi zao sisi hatuwezi kuyafanya hayo kwa mda huu, madikteta walijenga miundo mbinu kwa nguvu kazi za bure kabisa mf ujerumani, italy nk...maendeleo ya viwanda nayo yalijaa unyonyaji tuu...hatuwezi kufikia huko kama wao tena tujikune usawa wa mkono wetu, tukitaka zaidi inabidi kama nchi tukunwe afu siyo poa
Sent using
Jamii Forums mobile app