Bunju-Posta Metro Line

Bunju-Posta Metro Line

Hyo ya binafsi mfano barabara za mtaani uruhusiwi kujenga eti mpaka kibali, tatizo letu nchi yetu viongozi wetu do not think of the future project wao wanachojali ten percent, mfano hyo mikataba tunayoingiaga nao kwanini wasipewe conditions za kujenga miundo mbinu muhimu kwenye eneo husika pia nakuwaendeleza wataalamu wetu Ili ku exchange technology. Waarabu wao wameweza kutumia rasilimali zao kuaga umaskini but the case is different In Africa. Miundo mbinu ni muhimu for future sustainable ya maendeleo
Dada dunia hii hakuna utakachotaka ukifanye wewe peke yako kifike mbali. Lazima ukitaka kufika mbali lazima ushirikiane na watu hasa Potential Personels. Mfano mzuri ni Dubai tunayoiona leo, ule mji haukujengwa na Mwarabu ila alichokifanya ni kushirikiana na mzungu kutokana na rasilimali aliyonayo yeye miji yake ijengeke.

Hapa kwetu badala ya kuwapa conditions za namna hiyo kwenye sehemu wanazo Exploit rasilimali zetu waijenge ile miji tukageuka wezi wa rasilimali zetu wenyewe. Poor Us. Fakin Poor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dubai wametumia rasilimali zao ipasavyo....sisi wajanja tunajiibia halafu tunasingizia mabeberu.
 
Fikra na Akili za Kimasikini ndilo tatizo kuu la nchi nyingi za kiafrika. Hapo mtoa mada kama ulivyosema, nakuongezea jambo.

Kungeanzishwa Road Toll, serikali iwaite matajiri wetu wa ndani wawape Tenda ya kujenga barabara za juu, kitu kinaanzia Bunju mpaka Posta, Gomz mpaka Posta, Mbagala mpaka Posta, Mbezi mpaka Posta, wakimaliza kujenga wanapewa miaka 10 au mpaka 15 kuiendesha kurudisha gharama na kupata faida then serikali inakuja kuichukua kwa asilimia 80 na 20 anapata aliyejenga.

Sasa kuwa Tajiri nchi hii ishaonekana dhambi, kila kitu Serikali inataka ifanye yenyewe kwa asilimia 100. Neno la Mjenga nchi ni Mwananchi mwenyewe kwa Awamu hii sielewi maana yake ni nini.
Tutafika tu.
 
Mkuu, unajua unatembelea nchi za watu unapata depression ukifikiria kwenu. Unajiuliza sisi tumelaaniwa au?
 
Kuna mwarabu mmoja alikua ananiambia Malaysia ndio mfumo wanao tumia unajenga halafu unasimamia kurudisha chako na wanafanikiwa sana . Wangefanya kama pilot project wawekezaji waweke usafiri wa boti bagamoyo mpaka posta itasaidia sana na itapunguza foleni baadae wawape miundombinu ya barabara kama hizo cha msingi ni kusimamia hili final consumer hasiumizwe pia na kumpa mda wa kutosha mwekezaji hili apate faida. Fikilia kama mwaka huu uwanja wa ndege mpya ukifunguliwa halafu miundo mbinu ya kwenda mjini ni hile hile foleni itarudi maana hata daraja la tazara litazidiwa

kitochi
 
Hyo ya binafsi mfano barabara za mtaani uruhusiwi kujenga eti mpaka kibali, tatizo letu nchi yetu viongozi wetu do not think of the future project wao wanachojali ten percent, mfano hyo mikataba tunayoingiaga nao kwanini wasipewe conditions za kujenga miundo mbinu muhimu kwenye eneo husika pia nakuwaendeleza wataalamu wetu Ili ku exchange technology. Waarabu wao wameweza kutumia rasilimali zao kuaga umaskini but the case is different In Africa. Miundo mbinu ni muhimu for future sustainable ya maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kubwa ni Umasikini wa Fikra.
 
Kuna mwarabu mmoja alikua ananiambia Malaysia ndio mfumo wanao tumia unajenga halafu unasimamia kurudisha chako na wanafanikiwa sana . Wangefanya kama pilot project wawekezaji waweke usafiri wa boti bagamoyo mpaka posta itasaidia sana na itapunguza foleni baadae wawape miundombinu ya barabara kama hizo cha msingi ni kusimamia hili final consumer hasiumizwe pia na kumpa mda wa kutosha mwekezaji hili apate faida. Fikilia kama mwaka huu uwanja wa ndege mpya ukifunguliwa halafu miundo mbinu ya kwenda mjini ni hile hile foleni itarudi maana hata daraja la tazara litazidiwa

kitochi
Nimekuwa nikifikiria sana kazi za hawa Mipango Miji, sijui huwa wanakipanga kitu gani halafu Mpumbavu mmoja anakuja na mpango wa kudiscourage watu wasinunue magari sababu ya foleni. Pumbavu kabisa
 
Mkuu, unajua unatembelea nchi za watu unapata depression ukifikiria kwenu. Unajiuliza sisi tumelaaniwa au?
Mara zote huwa nafikiria tuna Laana sisi sio bure. Mbona serikali vitu kibao tu inatumia vya kisasa! Haya ya msingi yanashindikana nini!!!?
 
mi naona wange fanya mwendonas zikawa kama public bas (daladala) na tren zikiwepo itakuwa fresh sana coz inch zot zilizoendelea ndio mfumo wanaotumia
japo wao wana mpka tram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cost wise kati ya Metro line na hii Rapid transit ipi ipo chini!?..
Tuchukulie mfano tu wa treni ya Posta-Pugu/Posta-ubungo zinavyojaza watu pamoja na behewa zote zile then pigia picha itabidi vijengwe vituo vingapi kuziaccomodate hizo metro line trains!.
Lets be serious kwa sasa Mwendokasi ni suluhu ya tatizo letu tukiangalia toka ujenzi wake, uendeshaji wake, utunzaji wake na uwezo kuhimili unforeseen events!.
Kilichohitajika ni kuongeza mabasi tu sio kuanza kujenga hayo matreni ya juu ambayo kwanza ni gharama pili hatutaweza yaendesha kwa kipindi kirefu halafu matengenezo yake ni makubwa zaidi!..
Tunaweza piga kelele zijengwe hata Maglev trains lakini nauli ya Posta-Tegeta ikiwa elfu 15 tusianze kelele, hakuna mradi unaojengwa bila angalia gharama za kuuendesha na payback period yake!..
 
Back
Top Bottom