Lol kwa nini tusiiweke underground ikawa metro system kabisa?Badala ya mwendokasi kwanini tusiweke Metro line kutoka Bunju Hadi Posta? Hii inawezekana kupita juu Kwa juu katikati ya barabara bila kuathiri magari ya kawaida. Train za umeme full automated bila dereva zitatumika. Station zinakuwa juu huko huko abiria wanapanda na kushuka kwa kidaraja juu ya barabara. Treni moja ni Sawa na mabasi ya mwendokasi manne au matano hivyo zinaweza kubeba watu 500-600 Kwa mara moja. Mfano wake ni hapo chini. Picha ya tatu ni stationView attachment 984917View attachment 984918View attachment 984919
kwa upande wangu bado sijakumbana na hiyo report!..Jiji la Dar es salaam lliifanyiwa utafiti wa kina na wataalamu kutoka south america walilipwa na world bank kama sijakosea. Report yao iliongelea options zote mpaka hii ya mleta mada, BRT ili onekana itafaa zaidi. Kama mtu anaweza weka ile report itakua safi,
ilichambua vizuri sana hizo options.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada kwake Bunju anafanya kazi Posta kachoka foreni so kapata wazo la kurahisisha usafiri 😂Kwa nini bunju hadi posta na sio posta hadi kimbiji, posta hadi Chanika au posta hadi mkuranga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina maana nilichoandika ndio lazima kiwe hivyo hivyo. Kwa taarifa yako wanaanza hii kazi wanafikiria kuanzia Mwenge-Sam Nujoma-Morogoro road hadi Posta. Routes nyingine zitafuata.Kwa nini bunju hadi posta na sio posta hadi kimbiji, posta hadi Chanika au posta hadi mkuranga?
Sent using Jamii Forums mobile app