sijui mshahara utapanda? Yetu macho!
Nashangaa!Mshahara ukipanda wakati nchi haina umeme, Serikali itakusanya kodi toka vyanzo vipi ili hiyo mishahara ilipwe?
Mshahara ukipanda wakati nchi haina umeme, Serikali itakusanya kodi toka vyanzo vipi ili hiyo mishahara ilipwe?
Wenyewe wanasema mshahara lazima upande, ofcoz umepanda!
Mi hata sijamwelewa anafanya nin.. Anazungumzia tume ya maadili ya utumishi!Huyu mdada cjui mmama, anayesoma mapendekezo ya kamat ya sheria na katiba. Anasoma hyo hotuba km anasimulia hadith watoto wa std 1. Mapoooz! Ndo mana mzee wa kiraracha anaamua kupiga mbonji.
Ofcoz nakubaliana na wewe! Susan Lymo anasema tatizo ni mfumo wa mshahala, kwani wanaofaidika ni wenye mishahara mikubwa!mishahara hata ipande kwa 200% matatizo ya msingi yatakuwa pale pale - kinachotakiwa ni ufumbuzi wa kudumu. mfanyakazi wa kima cha chini hata ukimpa Tshs 500,000/ leo bado haitamtosha.So ni vyema tufikiri core problems badala ya kungoka nyongeza ya 5% toka kwa waziri.Core problem ni kudhibiti mfumuko wa bei kwenye bidhaa muhimu za vyakula, vifaa vya ujenzi na usafiri aka petrol, dizel na mafuta ya taa. mpo ma griti sinkazi? Timu mizizi usitibu matawi, ungonjwa upo kwenye mizizi ndugu zangu msidanganyike na hizi bla bla.
Mkuu hiyo %imepanda kwa mfanyakazi husika au fungu zima la mshahara ndo limepanda kwa 40.2%?.
Nimekupata mkubwa!Mkuu hiyo % ni ya fungu zima la mishahara. Kumbuka hapo kuna ajira mpya haswa upande wa walimu na madaktari, annual increments na malimbikizo ya nyongeza za nyuma ambazo hazikuwahi kulipwa. Ni juzi tu tumesikia walimu wanatishia kugoma sababu wanadai malimbikizo!!!!!Hata hivyo usishangae kesho kwenye magazeti wanatoka na vichwa JK aongeza mshahara 40%!!!!!!