Wafanyakazi/watumishi mishahara juu!miyeyusho tuu km kuongeza watawaongezea shs 5000 tu maana kinachoonekana cha muhimu sana kwenye hotuba za hawa mawaziri ni kusifiana na kupongezana hata ambapo hapastahili pongezi. sioni cha maana anacho present hapo bungeni.
Ukiona wameficha ujue wameongeza kiduchu au hawajaongeza kabisa, wanaogopa reaction ya watu na bajeti yake isikwame.Mimi sioni logic ya wao kuficha!
Mkuu hiyo %imepanda kwa mfanyakazi husika au fungu zima la mshahara ndo limepanda kwa 40.2%?.Mshahara umepanda kwa asilimia 40.2%
Leo wizara mbili zinawasilisha hotuba yake na zitajadiliwa pamoja, ya huyo mama mishahara na ya Wasira.huyu wasila anayoyasoma sijui yanahusiana vipi na utumishi!
Mnaosikiliza tupeni basi updates za mishahara!
Fungu zima ndo limepanda kwa 40.2%,nadhani inajumuisa mishahara ya ajira mpya zaidi ya elfu 64!Mkuu hiyo %imepanda kwa mfanyakazi husika au fungu zima la mshahara ndo limepanda kwa 40.2%?.
Duh! Tz kuna mambo ya ajabu, vitu vinapanda bei kila kukicha!Mi nilijua tu kuwa salary incriment ni ndoto, ila tunasubiri kina Magaya wawashe moto. Huku mtaani tayari kila kitu kimepanda bei, hata wakiongeza mshahara hakuna tija labda wapunguze bei ya mafuta ndio angalau maisha yaweza shuka ila kwa uzoefu wangu Tz kupanda kwa bei za bidhaa ni mara moja ila kushuka hakuna kabisaaa.