Sagungu 1914
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 932
- 579
Basi naomba sheria hii ile kotekote yaani majimama na majibaba.
Kila mtu afuate sheria ya nchi kwanza dini pili.lakini kwa wale ambao dini yao inawaruhusu kuoa binti chini ya miaka 18 itakuwaje?
Dini gani iyo mkuu..? Na he ukiulizwa kifungu gani hicho kinachosema hivyo unaweza kukileta hapa jamvini..? Au ulisikia MTU anasema kuhusu hicho kitu na wewe ukajulia hapo...??lakini kwa wale ambao dini yao inawaruhusu kuoa binti chini ya miaka 18 itakuwaje?
Kuna mwanamke mmoja nilisha mfuma ana baka dildo nilishangaa sana!!Kama wanaume wangekuwa wanashika mimba na kujifungua, ninaamini kuna mijanaume ingekua inajifungulia mafichoni halafu inapomaliza tu kujifungua hapohapo inakabaka katoto. Ukiona mtu anabaka hadi sabuni, au kiganja cha mkono wake mwenyewe jua huyo mtu ni hatari kuliko kitu chochote hapa duniani.
Je mtoto atakaezaliwa atalelewa na nani na wakati aliebebeshwa ujauzito ni mwanafunz, hvo bado n mdogo kiumr kuweza kumhudumia mtoto.Wajgesema wanaogegeda wanafunzi wafungwe miaka hiyo... haya mambo ya kisubiri matokeo ya kugegeda hayafai