Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

Kwa hiyo mh Magufuli alivyosema mawaziri wake kutakuwa hakuna upembuzi yakinifu au mchakato unaendelea alizani tutaonaje sasa .. Mawaziri wengine hata Tff hawaijui vizuri kweli serekali ya Magufuli kiboko kwa watanzania.. Serekali inayosifika kwa bomoa bomoa kwa wananchi wake
 
Hata wewe hapa povu linakutoka kuona kumbe pamoja na kupingana kwenye mambo flani flani kumbe wapinzani wanamsimamo kwenye mambo flani flani

Zitto ataendelea kupingwa kwa unafiki wake mwingine ila katika mambo tunayoona ni ya muhimu tutasimama nae pamoja.... Hivyo ndivyo tulivyo sio wanafiki...koleo tunaliita koleo na wala sio kijiko kikubwa...

Leo Zitto kawa Mpinzani??....hahaha
 
Uliza nimeanzia la ngapi sio nimeishia la ngapi? Kizazi cha GPA za Nursery wewe ndio sababu unaishi kwa kukariri,Title ikizungumzia A basi unaona haramu kutaja B.
Kunyooka mtanyooka tu awamu hii mtake msitake. Yale maneno ya jeuri na kiburi ya Mbowe unayasikia tena?
nape atamnyoosha nani ? mapovu yako hayawezi kupunguza kasi yetu , subiri moto zaidi kudadeki !
 
nape atamnyoosha nani ? mapovu yako hayawezi kupunguza kasi yetu , subiri moto zaidi kudadeki !

Tusubiri moto wakati mmeungua tayari October 25. Ukitaka kujua Nape kamnyoosha nani Muulize Lowassa
 
Lini Zitto alikuwa Chama Tawala?!

Hata TLP ni wapinzani japo nao ni kama Zitto tu

Huelewi hata unachoandika...
Kumbe huelewi kitu, Mbowe alipeleka jina la Kubenea kwa Ndugai kwa kuwa Zitto hawamtambui kwenye Kambi yao ya Upinzani hivyo asiwemo kwenye PAC ndio maana leo nastaajabu kakumbukwa kuwa ni sehemu ya upinzani
 
Magufuri ana chembechembe za udikteta

Na Bahati Nzuri Sana Karibia Nchi Ambazo Zimeongozwa au Zinaongozwa Na Kiongozi DIKTETA Zimekuwa au Zina MAENDELEO Ya KUTUKUKA Ktk Nyanja Nyingi Kuliko Nchi Zilizoongozwa Na Marais " WAKUCHEKA CHEKA " Na " Laissez Faire ". Angalia CHINA, URUSI, KOREA KASKAZINI, UGANDA, RWANDA Na Muda Mfupi Ujao TANZANIA Yetu Ambazo Zina MAENDELEO Na Vivyo Hivyo Hata Sisi WATANZANIA Tunaelekea Huko Huko. Rais Dr. MAGUFULI Tunyooshe Baba Hadi TUKOME Na Tuache KUDEKA DEKA. Tena Mimi Laiti Ningekuwa Rais Nadhani Ningekuwa Si Tu DIKTETA Bali KATILI LILILOTUKUKA Na Sidhani Kama UPINZANI Ungekuwa TANZANIA!
 
Kumbe huelewi kitu, Mbowe alipeleka jina la Kubenea kwa Ndugai kwa kuwa Zitto hawamtambui kwenye Kambi yao ya Upinzani hivyo asiwemo kwenye PAC ndio maana leo nastaajabu kakumbukwa kuwa ni sehemu ya upinzani
Basi Zitto anatoka upande wa Chama Tawala umeshinda!
 
Kwa dunia ya leo ya smart phone n.k. waache kujisumbua. Bado yote yasemwayo yatafahamika, tena recorded. Ni heri mambo yaachwe hadharani, siungi mkono kabisa suala hili. Ninalipa kodi nina haki ya kujulishwa na kushuhudia kinachoendelea ktk mihimili yote kwa usahihi na kwa wakati.
 
Wewe nani nikupe Evidence!! Unahitaji evidence ya uwepo wa giza au kuwaka Taa kujua KUwa muda huu ni usiku? Kubenea alishakupa ule ushahid aliokuwa anasema Zitto anatumiwa na Usalama kumdhuru Dr.Slaa?
Ww huoni aibu kupinga kila kitu, hata ccm wakifanya mabaya ww unapongeza tu kisa ni ccm yako, nam nimekuwa na mashaka na elim yako
 
Nape ni waziri wa Magufuli,unawezaje kusema hana baraka za bosi wake,hili jambo ni kubwa waziri hawezi kujiamlia tu,isitoshe amehusisha na kubana matumizi-sera ya Magufuli
Nape kamshauri Rais waminye vyombo vya habari sasa Nape anapanga njama za kufungia tv na radio Fulani ili kuwakomoa
 
W
Kuna jambo linafichwa fichwa hata hivyo litajulikana tu maana hata baadhi ya wabunge wa ccm wapo wamesema hawakubaliani nalo
wapo tena wengi tu lakini wanaogopa kutumbuliwa majipu wameamua kukaa kimya kumfurahisha Nape na boss wao.
 
Wewe umeona wapi Waziri wa habari wa NCHI na hapo hapo ni Mkuu wa kitengo cha habari na propaganda cha CHAMA KILICHOPO MADARAKAKI?
Pia ni Dalali wa siasa zile Dili zote za kuwanunua Lipumba na Slaa alikula cha juu pande zote tatu, yaani Nape alikula pesa iliyotolewa na ccm kisha akala iliyotolewa na Membe, huku akichukua ganji kwa lipumba na slaa na wahindi wapinzani wa ukawa, Kipindi hiki ni Kipindi ambacho nape anapaswa awe makini na maamuzi yake ya kukurupuka.
 
Ndiyo maana mimi Rais wangu bado ni Mamvi!
Itakuwa vigumu kuiamini ccm hata kama ikiongozwa na malaika!
Hivi kuna watu walikuwa wanaamini kwamba ccm chini ya Magufuli itafanya miujiza? Poor them! Lubuva na alaaniwe!
 
Magufuli ni mwoga, anajua atachokutana nacho hivyo sasa afanyacho ni kubana habari na wapinzani
Anatawala kwa wooga sana maana hajui hiyo 2020 kama atapita tena maana mamvi safari hii hawezi kuvumilia tena
 
Katika hali ya kusikitisha san,ITV wanaonesha habari kuwa sio tu wabunge wa upinzani walifukuzwa bungeni bali hata waandishi nao walisomeshwa namba kwa kutolewa nje ya bunge ili wasitoe habari ya yanayojiri bungeni.SWALI:Kufukuza waandishi napo ni kubana bajeti?
Ni sawa tu, kwani Tanzania haina waandishi wa habari bali wapinzani. Kumbuka sakata la Dr Slaa ndipo uone aina ya waandishi tulionao. Badala ya kusikiliza press conference wao wakageuka watetezi wa UKAWA, wakaanza kumzomea Dr Slaa, and you still call news reporters!!?
 
Kuna kitu kinashangaza sana ktk nchi hii haiwezekani jambo la msingi kama bunge lisiende hewani live Bila sababu ya msingi sijui ni nn wanachotaka kukificha
 
Nimeshindwa cha kuongea maana hii serikali inako tupeleka tutamkumbuka mkwere hakika hapa na bado kuna vitu wanataka vifichwe hapa.
 
Back
Top Bottom