Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

Umejiuliza kipi kinahusu maslahi ya umma kati ya HOJA ya zitto na ZITTO mtoa hoja? Unaonyesha ulivyo mbinafsi hadi kupofuka kiasi kwamba mahaba yako kwa mtoa hoja yanakufanya ushindwe kuona umuhimu na uzito wa hoja..

QUOTE="Pohamba, post: 15194449, member: 293163"]Leo UKAWA wameanzisha fujo bungeni kupigania kujadiliwa hoja binafsi ya Zitto Zubeir Kabwe huyu 'msaliti asiepaswa kuaminiwa 'hata kidogo kuhusu' TBCCM 'Television waliyowahi kutangaza kuwa haipaswi kuitazama.
Hawa Ukawa kuna Bolt kichwani zimechomoka yafaa wasaidiwe Leo wanaigania hoja ya Zitto kuhusu kuitetea TBC!![/QUOTE]
 
Mtamkumbuka sana rais wetu mwema aliyepita hakika nawaambieni.
 
Napy anafanya yaliyo maagizo ya waliomtuma.

Kila kitu tumwulize mkulu, kama ameamua kuturudisha zama za giza
 
Nape Nnauye Huyu ndio waziri wa kwanza kunichefua....
 
Magufuli na Majaliwa toeni kwanza maboriti yalipo machoni mwenu....ndipo mtaona vibanzi ndani ya macho ya watanzania!
Acheni uhuni wenu!
 
Nimemsikia nape nikataka kutapika eti anasema hata watanzania wamekubali hv kuna nchi nyingine inaitwa Tanzania
 
Mwanzoni nlikua napata kigugumizi kumhusisha Magufuli na haya yaliyotokea bungeni ,ila sasa naona wanachokifanya kina Nape,Chenge zina baraka kutoka Mamlaka ya juu
habari ndo hiyooooooo nashangaa kuona majitu yakiropoka et MAGUFULI atumbue jipu huyu wazir nyoooooooo mnazani anajiamlia tu
 
Kwahiyo Ulitaka Aache Kisha Kibarua Chake Kiote Nyasi? Ungemlisha Wewe? Muda Mwingine Muwe Mnatumia AKILI Nyie " NYUMBU ". Pale Yeye Ni KIBARAKA au MTUMWA Tu Hivyo Ni Lazima Afuate Master Wake Anachokisema. AJIRA Zenyewe Ngumu!

Nyumbu kwani ye CCMscrow?
 
Hizi ndio gharama za kubadili gia angani. Watu wameacha kutafuta wabunge wa kutosha. Tumemshabikia mvi kuwa rais

Nyumbu ndo huwa hawawezi kubadili njia hata km wanaenda kufa wote. Ndo maana CCMscrow ni maNYUMBU.
 
Leo UKAWA wameanzisha fujo bungeni kupigania kujadiliwa hoja binafsi ya Zitto Zubeir Kabwe huyu 'msaliti asiepaswa kuaminiwa 'hata kidogo kuhusu' TBCCM 'Television waliyowahi kutangaza kuwa haipaswi kuitazama.
Hawa Ukawa kuna Bolt kichwani zimechomoka yafaa wasaidiwe Leo wanaigania hoja ya Zitto kuhusu kuitetea TBC!!

Nyie ndo mnaamini mkikaa huku mtandaoni mtafarakanisha upinzani. Mkiambiwa nyie NYUMBU hamfikirii ya mbali hamuelewi. CCMscrow ni maNYUMBU.
 
Nape Nauye akishinda tena ubunge wa Mtama 2020 jua litaanza kutoa mwanga wa blue
 
Katika hali ya kusikitisha san,ITV wanaonesha habari kuwa sio tu wabunge wa upinzani walifukuzwa bungeni bali hata waandishi nao walisomeshwa namba kwa kutolewa nje ya bunge ili wasitoe habari ya yanayojiri bungeni.SWALI:Kufukuza waandishi napo ni kubana bajeti?
Na waandishi 7 wamekula ban
 
Hivyo ukweli sio kubana budget bali ni kudhibiti wananchi wasipate habari za bunge zilizo kamili
Ni aibu kwa kweli nilipoona mkurugenzi wa habari wa bunge akiwaamuru waandishi wa habari kuzima Camera zao.
Nimeona kwenye Mwananchi kuna waandishi saba wamekula ban
 
Katika hali ya kusikitisha san,ITV wanaonesha habari kuwa sio tu wabunge wa upinzani walifukuzwa bungeni bali hata waandishi nao walisomeshwa namba kwa kutolewa nje ya bunge ili wasitoe habari ya yanayojiri bungeni.SWALI:Kufukuza waandishi napo ni kubana bajeti?

daah upo wap mzee wetu wa msoga..... Hili lisukuma ni litemi balaa yaani lenyewe ni lizee la mind games tuu... Halitaki watu wajue uozo wake....
 
Back
Top Bottom