Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,015
114,360
Katika hali ya kusikitisha san,ITV wanaonesha habari kuwa sio tu wabunge wa upinzani walifukuzwa bungeni bali hata waandishi nao walisomeshwa namba kwa kutolewa nje ya bunge ili wasitoe habari ya yanayojiri bungeni.SWALI:Kufukuza waandishi napo ni kubana bajeti?
 
Hivyo ukweli sio kubana budget bali ni kudhibiti wananchi wasipate habari za bunge zilizo kamili
Ni aibu kwa kweli nilipoona mkurugenzi wa habari wa bunge akiwaamuru waandishi wa habari kuzima Camera zao.
 
Mwanzoni nlikua napata kigugumizi kumhusisha Magufuli na haya yaliyotokea bungeni ,ila sasa naona wanachokifanya kina Nape,Chenge zina baraka kutoka Mamlaka ya juu

Hapa naanza kuitafuta sababu ya huyu jamaa kupewa uenyekiti wa hili bunge, sitaki kuhisi kwamba huenda nikufanikisha kupitisha katiba aliyoiandika.
 
Katika hali ya kusikitisha san,ITV wanaonesha habari kuwa sio tu wabunge wa upinzani walifukuzwa bungeni bali hata waandishi nao walisomeshwa namba kwa kutolewa nje ya bunge ili wasitoe habari ya yanayojiri bungeni.

Mbase1970 hivyo vipindi vya bunge vilivyorekodiwa tutavipata wapi kama waandishi wa habari wanafukuzwa mkuu? Ndio maana nikasisitiza sheria na kanuni kuzingatiwa.
 
Hapa naanza kuitafuta sababu ya huyu jamaa kupewa uenyekiti wa hili bunge, sitaki kuhisi kwamba huenda nikufanikisha kupitisha katiba aliyoiandika.
Huo ndio ukweli mkuu na sio hilo la katiba tu bali naona kuna mengine mengi ,CCM mara zote lazima wawe na nguvu kwenye mihimili hii mitatu ya serikali ,Chenge ni Mwenyekiti wa bunge kwa maslahi ya ccm na sio taifa ,
 
Nape ni waziri wa Magufuli,unawezaje kusema hana baraka za bosi wake,hili jambo ni kubwa waziri hawezi kujiamlia tu,isitoshe amehusisha na kubana matumizi-sera ya Magufuli
 
Back
Top Bottom