Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

Bungeni: Waandishi nao walitimuliwa

Kwani waandishi wa habari wanaruhusiwa kuingia bungeni?
 
Kwahiyo Ulitaka Aache Kisha Kibarua Chake Kiote Nyasi? Ungemlisha Wewe? Muda Mwingine Muwe Mnatumia AKILI Nyie " NYUMBU ". Pale Yeye Ni KIBARAKA au MTUMWA Tu Hivyo Ni Lazima Afuate Master Wake Anachokisema. AJIRA Zenyewe Ngumu!

kweli wewe ni Gentamicin na natumaini ushapata nephro na ototoxicity
 
Ndio maana wanampiga vita lowassa, wanatumia nguvu nyingi kuhakikisha wanampoteza, vyote vinadunda hakika Mungu yupo
 
Hizi ndio gharama za kubadili gia angani. Watu wameacha kutafuta wabunge wa kutosha. Tumemshabikia mvi kuwa rais
 
maghufuli ni dikteta. hatufai hatufaiii. kitendo cha kuingiza askari polis mule bungeni kimeodhalilisha nchi yetu na bunge pia....
 
Leo UKAWA wameanzisha fujo bungeni kupigania kujadiliwa hoja binafsi ya Zitto Zubeir Kabwe huyu 'msaliti asiepaswa kuaminiwa 'hata kidogo kuhusu' TBCCM 'Television waliyowahi kutangaza kuwa haipaswi kuitazama.
Hawa Ukawa kuna Bolt kichwani zimechomoka yafaa wasaidiwe Leo wanaigania hoja ya Zitto kuhusu kuitetea TBC!!
 
Unajaribu kujenga hoja dhaifu sana kwa kutumia sababu dhaifu sana

Ukweli unaujua japo unajaribu kufanya kejeli...
 
nadhan tatizo ni mfumo na waandishi waliofukuzwa wasikae kimya wauhabarishe umma,
 
Unajaribu kujenga hoja dhaifu sana kwa kutumia sababu dhaifu sana

Ukweli unaujua japo unajaribu kufanya kejeli...

Muwe mnaweka akiba ya maneno nyie sio wa kupigania TBC kwa jinsi mnavyojifanya kuiponda daily. Tena mkiwa na yuleye mbaya wenu Zitto Zubeir Kabwe. Kwa jinsi mnavoshindana kumuanzishia thread za kashfa na kejeli haikutegemewa leo mkae nae meza moja. Jifunzeni kuwa na akiba ya maneno kwenye Siasa chochote kinawezekana lakin hamjifunzi tu!
 
Katika hali ya kusikitisha san,ITV wanaonesha habari kuwa sio tu wabunge wa upinzani walifukuzwa bungeni bali hata waandishi nao walisomeshwa namba kwa kutolewa nje ya bunge ili wasitoe habari ya yanayojiri bungeni.SWALI:Kufukuza waandishi napo ni kubana bajeti?
Kilichofanyika Bungeni ni Uhuni uliopitiliza. Ndio tabu ya kuwapa Vichwa maji nafasi zisizowatosha. Kama wanaona TBC wanaingia gharama basi wawaruhusu TV Station zingine zirushe hayo matangazo at their own costs
 
Ngoja nilale kwanza kichwa kinauma. Usiku mwema wakuu, muda si mrefu JF nayo itafungiwa.
 
Katika hali ya kusikitisha san,ITV wanaonesha habari kuwa sio tu wabunge wa upinzani walifukuzwa bungeni bali hata waandishi nao walisomeshwa namba kwa kutolewa nje ya bunge ili wasitoe habari ya yanayojiri bungeni.SWALI:Kufukuza waandishi napo ni kubana bajeti?
Hawabani matumizi wanabana haki za raia (mwananchi).
 
nape ndio waziri mbovu kupita wote waliowahi kuwepo wizara ya habari .
 
Muwe mnaweka akiba ya maneno nyie sio wa kupigania TBC kwa jinsi mnavyojifanya kuiponda daily. Tena mkiwa na yuleye mbaya wenu Zitto Zubeir Kabwe. Kwa jinsi mnavoshindana kumuanzishia thread za kashfa na kejeli haikutegemewa leo mkae nae meza moja. Jifunzeni kuwa na akiba ya maneno kwenye Siasa chochote kinawezekana lakin hamjifunzi tu!
Siasa ziliisha November... Ndio maana Magufuli na Kikwete walimtembelea Sumaye Hospitali... Wewe endelea kuishi kwa chuki tu

Tunaungana kwenye mambo ya muhimu kwa mustakabali wa Taifa letu... Kwahiyo kama tunaiita ni TBCCM ndio tuache kabisa na kuihoji? Unashauri tuizirie kabisa(tususe)?!

Kwamba kwasababu Zitto hatumuamini na hata katika mambo ambayo yanamaslahi mapana kwa jamii tusimuunge mkono kwani anaipigania familia yake pale Bungeni?!

Mbona hata baadhi ya Wabunge wa CCM hawaafikiani na Maamuzi ya waziri huyo Kilaza?!
 
nape ndio waziri mbovu kupita wote waliowahi kuwepo wizara ya habari .

Lowasa ndio Mtu pekee tangu Dunia iumbwe Mwl nyerere alimkataa kwa tuhuma za wizi akafurushwa bungeni kwa wizi chadema wakamshambulia kwa tuhuma za wizi,Ccm wakamkata kwa tuhuma za wizi.
 
Ishu ya Lowassa ni irrelevant hapa hatumzungumzii Lowassa

Anzisha thread yake tujadili
 
Siasa ziliisha November... Ndio maana Magufuli na Kikwete walimtembelea Sumaye Hospitali... Wewe endelea kuishi kwa chuki tu

Tunaungana kwenye mambo ya muhimu kwa mustakabali wa Taifa letu... Kwahiyo kama tunaiita ni TBCCM ndio tuache kabisa na kuihoji? Unashauri tuizirie kabisa(tususe)?!

Kwamba kwasababu Zitto hatumuamini na hata katika mambo ambayo yanamaslahi mapana kwa jamii tusimuunge mkono kwani anaipigania familia yake pale Bungeni?!

Mbona hata baadhi ya Wabunge wa CCM hawaafikiani na Maamuzi ya waziri huyo Kilaza?!
Hilo waambie Nyumbu wenzio wanaoanzisha uzi humu kusema Zitto asiaminiwe kwa Lolote na kwa taarifa zako hizo thread zimeanzishwa kwa makusudi kipindi hiki cha kuelekea kuanza kwa Bunge.
Narudia kukumbusha pamoja na Nyumbu wenzio Wekeni akiba ya Maneno wanasiasa hawawekewi dhamana leo Zitto Halima Mdee na Tundu lissu wanapiga story kama kawaida wewe huku povu linakutoka.
 
Back
Top Bottom