<br />
<br />
Gerrad ni uharaka wa kuandika tu Mkuu,sorry. Pia amesema yeye hayuko tayari kuendeshwa na viongozi Dictators ambao wanazuia maoni yake so kwake hilo halipo ana uhuru wa kuongea kweli kama dini yake inavyomuamuru. Pia alizungumzia kiongozi ambae ni chaguo la mungu(nahisi JK) na kiongozi tamaa(means from CDM ,sasa sijui nani?). Inshort sijaamini nilichokisikia na kukiona sababu kwanza ilikuwa mchango wa wizara ya Maliasili ghafla akaomba aongelee suala lake na CDM huku akibeza na kusema hilo nalo lahusu mada ya utalii huku wabunge wa CDM wakifurahia kupita kiasi. Nilimuona SUGU na msigwa wakimuangalia kwa ghadhabu kali. Hali tete kwakweli km mvutano utaendela hivi.