Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
<br /><font color="#a52a2a"><b>CDM hawakumsaidia chochote Shibuda kushinda Maswa, na wakimtoa CDM hata wafanye nn jimbo hawalipati n'go. Na niwajuavyo wasukuma hakuna mtu wa CDM atakae ruhusiwa kukanyaga Maswa na ndio utakuwa mwisho wao. Ndio maana jamaa anawaendesha atakavyo kwani mkimwaga ugali yeye anamwaga mboga</b></font>
<br />
Bora kukosa jimbo.