Bungeni: Shibuda aipasha CCM na Serikali yake!!

Kauli hii ni ya Mnyika lakn maneno ya Shibuda
 
Shibuda amesema kuna mabaya ya serekali na mazuri ya serekali,mabaya upinzani na mazuri ya upinzani,hivyo serekali inapochokonyoa upinzani na ndivyo upinza huchokonyoa serekali,amepongeza jeshi la mkoa wa shimiyu akaenda mbali zaidi akiwataka CCM ikubali kukosolewa kwamba wakisema mfalme ana minyoo wasizani kuwa mfalme kafedheheshwa bali anakumbushwa juu ya afya yake,akamea jeshi a polisi kupendelea ma DC,na kutaka kuboresha demokrasia na utawala bora,mwisho ana makinda kamsifia kuwa leo kaongea lugha nzuri na kwa hekima.
Hakika sasa nimeamini CDM kuna watu wanaogopwa, SHIBUDA alivyowafunua CDM vile mnabadilisha kibano kuwa CCM ndiyo imepashwa?
 
Awambia wakubali kupokea kasoro wanazokosolewa na upinzani;
Awambia mfalme akigunduliwa na mahabara kwamba ana minyoo sio kumdhalilisha bali kumponya;
Asema kuchokonoana bungeni ni kutokana na kasoro za CCM na Serikali yake.
Shibuda ni janga....
 
Shibuda kawakomesha cdm na mgomo wao mbuzi kachoka wa posho upinzani full of drama
 
Shibuda amesema kuna mabaya ya serekali na mazuri ya serekali,mabaya upinzani na mazuri ya upinzani,hivyo serekali inapochokonyoa upinzani na ndivyo upinza huchokonyoa serekali,amepongeza jeshi la mkoa wa shimiyu akaenda mbali zaidi akiwataka CCM ikubali kukosolewa kwamba wakisema mfalme ana minyoo wasizani kuwa mfalme kafedheheshwa bali anakumbushwa juu ya afya yake,akamea jeshi a polisi kupendelea ma DC,na kutaka kuboresha demokrasia na utawala bora,mwisho ana makinda kamsifia kuwa leo kaongea lugha nzuri na kwa hekima.
Hata mkijifanya kumpooza kwa maneno haya bado ukweli utabaki pale pale kuwa SHIBUDA kawambia ukweli wenu wana CDM na viongozi wenu wanafiki hao wanaobeza kila jema linalofanywa na Serikali. Kazi kwenu mmeze au mteme.
 
Ukisifiwa na Anna Makinda itakulazimu ukae chini ujiulize uwezo wako. Huenda nawe ni PUNGU.
 
Don't trust him anymore
...kweli mkuu wa itifaki maana nazipima kauli zake naona ziko well balanced na hazifungamani na upande wowote,hazina tofauti na mbunge wa ccm ambaye anaunga mkono hoja na kuipinga at the same time...
 
mwisho ana makinda kamsifia kuwa leo kaongea lugha nzuri na kwa hekima.
Sio kazi yako Spika Makinda kutoa grade ya nani kaongea kwa hekima na nani hana hekima, unachemka sana Mama, una wa treat wabunge kama mwalimu na watoto darasani, ananishangaza sana huyu Mama.
 
Shibuda amesema kuna mabaya ya serekali na mazuri ya serekali,mabaya upinzani na mazuri ya upinzani,hivyo serekali inapochokonyoa upinzani na ndivyo upinza huchokonyoa serekali,amepongeza jeshi la mkoa wa shimiyu akaenda mbali zaidi akiwataka CCM ikubali kukosolewa kwamba wakisema mfalme ana minyoo wasizani kuwa mfalme kafedheheshwa bali anakumbushwa juu ya afya yake,akamea jeshi a polisi kupendelea ma DC,na kutaka kuboresha demokrasia na utawala bora,mwisho ana makinda kamsifia kuwa leo kaongea lugha nzuri na kwa hekima.
............. binafsi simuamini tena huyu mheshimiwa
 
Back
Top Bottom