Bungeni: Nassari atetea matumizi mabaya ya posho/mali ya umma

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,195
2,000
jioni hii mbunge wa arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua posho hizo warudishe mara moja.

suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.
 
lebara

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
647
1,000

Huyu NASSARY ale pesa zake za Ubunge kwa mara ya mwisho arudi akalee YULE BIBI YAKE ( MKEWE) wa kizungu, arumeru ataisikia kwenye redio.
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Mkuu, tamuchungu, unaweza kutuwekea picha ya Nassari akiwa ameketi na Joyce Mukya? Itasaidia sana kuboresha mada hii. Wakati huo nasari alikuwa bado hajawa mbunge
 
Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,903
2,000
Dogo nimemwona mbele ya Runinga hapa anajikanyaga kanyaga,hadi kapoteza confidence

mkuu, hiyo ndo aina ya wbunge waliopo chadema. Si unakumbuka pia ni jana tu mchungaji msigwa naye kachemka kwenye suala la ekari na hekta?
 
mayiende

Member
Dec 13, 2013
74
0
jioni hii mbunge wa arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua posho hizo warudishe mara moja.

suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.

Wahe. Wabunge waliochukua posho za safari na hawakwenda ni lazima wafikishwe kwenye vyombo vya kisheria na washitakiwe mara moja. Posho hizi zingefujwa na Wakurugenzi wa Halmashauri moto ungewaka Bungeni lakini kwa Wahe. Wabunge mambo ni kimya. Nakushukuru sana mhe. Mbunge wa Nkasi kwa kuibua suala hili na kwa kweli waliochukua posho wameaibika mbele ya wapiga kura wao. TAKUKURU MPO WAPI?.
 
Uyole12

JF-Expert Member
Oct 3, 2010
595
225
jioni hii mbunge wa
arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea
matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa
dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy
akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua
posho hizo warudishe mara moja.

suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao
wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili
ya uongozi.

Akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,195
2,000
[h=3]Wabunge waliokwepa safari watakiwa kurejesha posho, yupo pia nassari[/h]Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.
********
Sakata la wabunge waliochukua posho kwa ajili ya safari za mafunzo nje ya nchi na kuacha kusafiri, limeingia hatua mpya baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuwataka wazirudishe.

Katika orodha ya wabunge wanaotajwa katika sakata hilo, wamo baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na Chama cha NCCR-Mageuzi.
 
ONDIECK OTOYO

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
254
0
wabunge wanashindwa kujadili yale ya msingi kwa maslai ya taifa kama wagonjwa kukosa matibabu, wanafuzi kukosa mikopo na umaskini kuongezeka , migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima hiyo ya posho ndiyo wana weza wakati kapuya amebaka na walalamikaji walifika mpaka bungeni kwa spika na kamati ya maadili wakashindwa kuchukua hatua na spika hakaishia kuwapa walamikaji tsh 1,000.000.00 akanunue dawa ya F9 ya ukimwi aliyopata kutoka kwa kapuya
 
DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
1,170
2,000
jioni hii mbunge wa arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua posho hizo warudishe mara moja.

suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.

Ivi unafaidika nini kuongea uongo?
Ni wapi alipotetea matumizi mabaya?

Umemsikiliza ukamuelewa alichokisema? Unasikitisha sana!
 
maswimanga

Senior Member
Apr 15, 2013
159
195
Fikra pevu "pale tunaposhangilia kifo cha mwizi wa kuku na kusktika hukumu ya mwizi wa twiga na mikataba mibovu" sasa nakaribia kuamini sisi watanzania si maskini wa mali ila ni maskni wa kufikiri tu.
 
scramble

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
1,593
0
Sikutegemea kua nassari anaweza kutetea ufisadi. Kumbe vhadema siyo chama cha ukombozi! ? Wizi mtupu!

Nassari alipewa na bunge mil 8 kama posho ya? safari. Hela aliiweka kibindoni na kukimbilia meru

Shame on u nassari.
 
mti_mkavu

Senior Member
Dec 23, 2008
116
195
Huu ni mwanzo nzuri. maana hata mimi nimeona viti vitupu bungeni je wanalipwa ambao hawapo?

jioni hii mbunge wa arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua posho hizo warudishe mara moja.

suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.
 
scramble

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
1,593
0
Ivi unafaidika nini kuongea uongo?
Ni wapi alipotetea matumizi mabaya?
$
Umemsikiliza ukamuelewa alichokisema? Unasikitisha sana!

Wewe zuzu usidhani sote ni mazuzu. Nassari alipewa mil 8 kama posho ya safari. Akaziweka kibindoni na kukimbilia jimboni kwake. Inasemekana siku ya safari alizima simu.

Mbunge kessy aliingilia Kati kwa kumuita nassari mwizi. Arudishe fedha ya umma. Je chdm ikishika dola na nassari kuwa waziri hatoiba sana? Kweli chdm ni mkombozi wetu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom