Bungeni: Nassari atetea matumizi mabaya ya posho/mali ya umma

ni vema huu mchakato ukafanyika kuanzia miaka ya nyuma,hapo napata wasiwasi kama hata JK hausiki,ni mtazamo tu
 
Mungu amfichi mnafiki wa roho wa posho wameanza kujionesha wenyewe.

Yani huyu nassari ni mbunge mfata upepo tuu.
 
jioni hii mbunge wa arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua posho hizo warudishe mara moja.

suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.

Kessy akaendelea kusema kuwa kurudisha peke yake haitoshi, wapelekwe polisi.
 
Bunge letu limejaa wabunge wachumia tumbo, sio wa upinzani wala ccm, kwa mfano wabunge wengi wa chadema ni mizigo kama wale wa maccm,tofauti ni ndogo sana!
 
Usirushe jiwe kama unaishi kwenye jumba la vioo. Dhana ya ufisadi ni pana sana, kama tunapambana na ufisadi lazima tuonyeshe kwa vitendo. Kama ni kweli yasemwayo kuhusu baadhi ya wabunge wa CDM, itakuwa ni fedheha sana na usaliti wa hali ya juu kwa Watanzania.
 
wabunge wanashindwa kujadili yale ya msingi kwa maslai ya taifa kama wagonjwa kukosa matibabu, wanafuzi kukosa mikopo na umaskini kuongezeka , migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima hiyo ya posho ndiyo wana weza wakati kapuya amebaka na walalamikaji walifika mpaka bungeni kwa spika na kamati ya maadili wakashindwa kuchukua hatua na spika hakaishia kuwapa walamikaji tsh 1,000.000.00 akanunue dawa ya F9 ya ukimwi aliyopata kutoka kwa kapuya

Enh! Yaani kuzungumzia ufisadi wa wabunge kukwapua posho siyo jambo la msingi?
 
On Thursday, December 19, 2013 7:40 AM, Josh Nassari <jsh.samwel@gmail.com> wrote:

---------- Forwarded message ----------
From: Josh Nassari
Date: Wednesday, December 18, 2013
Subject: Ziara ya kamati ya bunge ya maendeleo ya jamiijamii
To: makene_84@yahoo.com

---------- Forwarded message ----------
From: Josh Nassari <jsh.samwel@gmail.com>
Date: 2013/11/28
Subject: Fwd: Ziara ya kamati ya bunge ya maendeleo ya jamiijamii
To: "slaa@chadema.or.tz" <slaa@chadema.or.tz>, wpakoslaa5@gmail.com

---------- Forwarded message ----------
From: Josh Nassari
Date: Thursday, November 28, 2013
Subject: Ziara ya kamati ya bunge ya maendeleo ya jamiijamii
To: thomasdidimu@yahoo.com
Cc: Josh Nassari <jsh.samwel@gmail.com>

Katibu wa Bunge,

Salaam, napenda kuijulisha ofisi yako kuwa nilipaswa kwenda Ziara ya mafunzo nakamati yangu ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamii nchini Malaysia.
Kwa sababu zilizo juu ya uwezo wangu niliamua kusafiri baada ya kamati kusafiri kwa sababu ya harambee nilipaswa kuiongoza kanisani jimboni kwangu.
Baada ya harambee hiyo ikajitokeza dharura nyingine ambayo mpaka sasa imenizuia kusafiri kuungana na kamati yangu.

Nilishapokea posho ya kujikimu toka ofisi ya Bunge. Pls advise as per this matter ili ya kaisari nimpe kaisari na ya Mungu nimpe Mungu.

Hope all is well.
JN.

--

Hon. Joshua S. Nassari
Member of Parliament
Arumeru East Constituency
The Parliament of Tanzania

jsh.samwel@gmail.com
+255 (0) 767 225 758
+255 (0) 784 225 758[/QUOTE]
 
CHADEMA ina viongozi makini, of course si wote ila majority. Na hao wengine they are on their way out!
 
+255 (0) 784 225 758

Katibu wa bunge ni mzigo sana.. yaani mtu amekuandikia muda mrefu halafu wewe umekaa kimya hutoi utaratibu? Kiukweli Nassari aliweka wazi hili jambo na nimfano wa kuigwa.
 
Peleka upuuzi wako amekutuma wewe kwa nini yeye mwenyewe asiuseme pale bungeni kuna waandishi wa habari wengi tu, kinanachotakiwa arudishe pesa za walipa kodi watanzania hawaitaji porojo, vipi hauna ushahidi wa Mbowe kule Dubai na Joyce Mukya!
 
Mr Kashilila anajua
 
Katibu wa Bunge,
Nilishapokea posho ya kujikimu toka ofisi ya Bunge. Pls advise as per this matter ili ya kaisari nimpe kaisari na ya Mungu nimpe Mungu.

Hope all is well.
JN.
Ningependekeza moja ya semina wanazojipa wabunge basi wajipe semina za communication skills mara kwa mara ili kuweza kufanya mawasiliano yanayoendana na hadhi ya taasisi (Bunge) wanayoitumikia na heshima na nafasi yao kwa jamii.
 
Peleka upuuzi wako amekutuma wewe kwa nini yeye mwenyewe asiuseme pale bungeni kuna waandishi wa habari wengi tu, kinanachotakiwa arudishe pesa za walipa kodi watanzania hawaitaji porojo, vipi hauna ushahidi wa Mbowe kule Dubai na Joyce Mukya!

Wewe acha kujifanisha chizi... hizo pesa atarudishaje wakati hapewi utaratibu? Angalia ni lini aliomba utaratibu ila mpaka leo mpaka kesho hajapewa utaratibu, unasema waandisha.. kwani hii siyo sehemu ya habari? Uwezo wako ni kufikiri kimatumbo zaidi...
 
yeriko nyerere,

acha kulialia hapa jf.
nasari amekwapua fedha ya umma. huu ni ulafi wa kupindukia.
 
posho ni kaa la moto kwa sasa hasa kwa hawa vijana wadogo wenye njaa kali mf wa mbwa mwizi
 
yeriko.
email kama hii kila mtu anaweza kutengeneza, hata mtoto mdogo anayejifunza kuongea anaweza. huu ni usanii mwingine wa yeriko kutumiwa vibaya na mabwana zako
 
Back
Top Bottom