utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
jioni hii mbunge wa arumeru mashariki chadema joshua nassari ameendeleza wimbi la kutetea matumizi mabaya ya fedha ya umma kwa kujitetea kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na dhidi ya wabunge wengine ni mipasho. akainuka mh kessy akasema kuwa tuhuma hizo zimeshatolewa maamuzi na bunge kuwa waliochukua posho hizo warudishe mara moja.
suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.
suala hili limeendelea kuwa mwiba kwa wabunge wa upinzani ambao wameonekana wazi kuwa wameteleza katika suala hili la ukosefu wa maadili ya uongozi.