Bungeni: Nassari atetea matumizi mabaya ya posho/mali ya umma

Ningependekeza moja ya semina wanazojipa wabunge basi wajipe semina za communication skills mara kwa mara ili kuweza kufanya mawasiliano yanayoendana na hadhi ya taasisi (Bunge) wanayoitumikia na heshima na nafasi yao kwa jamii.

Asante mkuu angalau wewe umeona kuna ''issues'' kuhusu communication skills katika taasisi ya bunge. Si huko tu bali kwa ufupi kuhusu mambo ya communication skills nchi yetu imetumbukia kwenye shimo la kiza kikuu.
 
Asante mkuu angalau wewe umeona kuna ''issues'' kuhusu communication skills katika taasisi ya bunge. Si huko tu bali kwa ufupi kuhusu mambo ya communication skills nchi yetu imetumbukia kwenye shimo la kiza kikuu.
Mambo matatu yanakinzana na hii Meseji. 1. Mwandishi ni msomi wa chuo Kikuu, 2. Mwandishi ni Mh. Mbunge wa bunge la JMT. 3. Aliye-post hapa ni nguli wa habari mbobevu:

Haya yalikuwa mawasiliano rasmi ya barua pepe (Oficial email) kwa jambo rasmi la Kiofisi. Najaribu kutafakari siku nikipekuwa dust bin zinakotupwa zile karatasi ambazo waheshimiwa huwa wanaandikiana vimemo wakati wa Bunge likiendelea itakuwaje nitasoma aina gani ya mawasiliano n lugha iliyotumika??
 
On Thursday, December 19, 2013 7:40 AM, Josh Nassari <jsh.samwel@gmail.com> wrote:



---------- Forwarded message ----------
From: Josh Nassari
Date: Wednesday, December 18, 2013
Subject: Ziara ya kamati ya bunge ya maendeleo ya jamiijamii
To: makene_84@yahoo.com






---------- Forwarded message ----------
From: Josh Nassari <jsh.samwel@gmail.com>
Date: 2013/11/28
Subject: Fwd: Ziara ya kamati ya bunge ya maendeleo ya jamiijamii
To: "slaa@chadema.or.tz" <slaa@chadema.or.tz>, wpakoslaa5@gmail.com





---------- Forwarded message ----------
From: Josh Nassari
Date: Thursday, November 28, 2013
Subject: Ziara ya kamati ya bunge ya maendeleo ya jamiijamii
To: thomasdidimu@yahoo.com
Cc: Josh Nassari <jsh.samwel@gmail.com>


Katibu wa Bunge,

Salaam, napenda kuijulisha ofisi yako kuwa nilipaswa kwenda Ziara ya mafunzo nakamati yangu ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamii nchini Malaysia.
Kwa sababu zilizo juu ya uwezo wangu niliamua kusafiri baada ya kamati kusafiri kwa sababu ya harambee nilipaswa kuiongoza kanisani jimboni kwangu.
Baada ya harambee hiyo ikajitokeza dharura nyingine ambayo mpaka sasa imenizuia kusafiri kuungana na kamati yangu.

Nilishapokea posho ya kujikimu toka ofisi ya Bunge. Pls advise as per this matter ili ya kaisari nimpe kaisari na ya Mungu nimpe Mungu.

Hope all is well.
JN.




--

Hon. Joshua S. Nassari
Member of Parliament
Arumeru East Constituency
The Parliament of Tanzania

jsh.samwel@gmail.com
+255 (0) 767 225 758
+255 (0) 784 225 758
[/QUOTE]

asante Nassary.....
 
Ivi unafaidika nini kuongea uongo?
Ni wapi alipotetea matumizi mabaya?

Umemsikiliza ukamuelewa alichokisema? Unasikitisha sana!
kwa mtu mwenye akili ungepinga kwa kuweka alichokisema kama unaona hiki sio sahihi ila kwa kuwa unataka kuficha uchafu utaishia kulialia.
 
nasari amezama kwenye rushwa ya posho kabla hata hajafikisha umri wa miaka miwili bungeni
 
Back
Top Bottom