Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

Hata muswada wa katiba waliacha kuujadiri wakaanza kuimba mipasho
 
Kwa kweli Nchemba amenikasirisha sana..kwanza najiuliza kile kiburi amekitoa wapi..anaongea kwa kiburi as if yeye sijui ni nani kwenye Tanganyika yetu..alikosa busara zaidi pale aliporusha budget kivuli na kusema ni takataka..what a shame kwa mbunge kufanya vile tena anayetoka chama tawala..imeniudhi sana.

Kaka kile kitendo cha kuitupa budget kivuli na kuiita rubbish imeniudhi sana yaani natamani angepita mtaani kwetu angepata tafsiri ya yale madharau!!!! Hadi sasa sijisikii vema sana
 
tutafika tu, tunakaribia, tuchinjane weeeee halafu tuta heshimiana na kuijenga tanganyika yetu pamoja
 
Lissu nae katoa matusi na kaambiwa afute, katumia neno 'silly'
naona mipasho inatikisa bunge.

Nchemba anasema Mbowe alirudisha gari la zamani kachukua jipya na kali zaidi

Lissu akuambiwa afute neno bali kaambiwa asiendelee kutumia maneno makali ya kuudhi kama vile SHAMEFUL TO THIS GOVERMENT........ANOTHER SILLY SEASON, lakini bila ushabiki LISSU alichosema ni sahihi kabisa kwani kila bunge la bajeti mambo ni yaleyale yaliyosheeni ahadi hewa: Mwigulu Nchemba amewaka kuficha UHOZO na kwa vile anajua jinsi anavyofaidika na CCM
 
Ni dalili za CCM kushindwa kutawala! Nchi masikini kabisa , kwishney, lakini bado hawa CCM wanafikiri Watz wako peponi under CCM! CCM ni Rubbish kabisa!
 
mwigulu hana uzalendo wowote ni mnafik no 1 eee mola kwa nini siku moja tusiamke tukute umewaangamiza wanafiki wote? Simpendi huyu jamaa na sula lake kama anpuliza moto.
 
Watakuja kupigana siku moja we subiri tuu.

Wakuu mi naisubiri hiyo siku kwa hamu sana na kwenye sala zangu huwa naliweka hilo mbele.
Na huyu mwenyekiti wa kikao wa leo Mzee Mabumba huwa hana nguvu kabisa za kuendesha vikao ndo maana kiti kinakosa hesima.
Wakianza zile bajeti za wizara ndo patachimbika zaidi pale Mh. Mnyika anapoanza kumpeleka mbio waziri husika na AG.
Hapo ndo ngumi zitakuja kurushwa live TBC.

Bila ngumi CCM hawatajua hasira waliyonayo wananchi huku mtaani halafu eti wanataka kuongeza kodi kwenye vocha za simu wakati twiga wetu walioenda Qatar hawajarudishwa.
 
Anyway, hivi kama hiyo bajeti ya upinzani ni mbaya je kuna haja gani ya kukasirika na kutukana wakati bajeti ya chama tawala ndiyo itakayotumika??? Hivi Komba, a former Head teacher wa Sabasaba primary school, lini amejua mambo ya bajeti?? Bora akarudia kazi yake ya kuburudisha jamii!!!
 
Is undeniable truism tha, this is Another Silly Season.

nafikili hao akina Mwigulu Nchemba kingereza cha LISSU kinawachanganya,


kwanza wanaona wivu kwamba
kwanini jamaa anakuja na hoja motomoto, ni lazima wangemshambulia: lakini nina imani wa-Tanzania tumeona tutapima wenyewe.
 
Naona kuna haja ya kuweka semina maalumu kwa wabunge otherwise heshima hamna. Wengine naona wapo kiushabiki kuliko uhalisia..mtu kama Komba anaisifia budget alafu baadaye anasema jimbo lake ni maskini na limesahauliwa katika maendeleo ya nchi sasa sijui alikuwa anamaanisha nini. Alafu busara na hekima yake ni sifuri pale anapodai wabunge wanatakiwa kupimwa akili coz wengine walikosea walitakiwa wawe Mirembe.. lakini kwa upande wangu nikifanya tathmini yangu Komba alitakiwa awe wa kwanza kuwa Mirembe kutoka na vapour anazoongea bungeni
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Komba is another Zero brain.. anasema kama ni ngumi watawaangamiza wapinzani coz ni wachache.. hawa watu sijui kulikuwa hamna wagombea wengine kwenye majimbo yao..

Hivi huyo jamaa alichaguliwa au aliteuliwa?
 
Mwigulu anajua ana tuhuma ya mauaji kule Arusha kwa hiyo ni lazima aonyeshe ana mapenzi ya dhati na ccm. Anataka ccm iweke mkono wake mahakamani!!!
 
Back
Top Bottom