Pindi.... Another crappindi Hazara Chana anasema;
ibala ya 62. bunge linatimilika linapokuwa na rais. mswaada huu umetambua powers za rais.
ghana waliunda tume bila wanasiasa. lakini sisi tumeweka wanasiasa. so tunawaomba wanasiasa mtakao chaguliwa muweke masirahi ya nchi mbele sio vyama vyenu bali watanzania. naomba sana hilo. nachangia pia kipengele cha 12.4. rais naomba aunde tume ya kusikiliza kesi ya mtu aliyefukuzwa kwenye tume sambamba na tume ya katiba.wakati wa vyama vingi 80 chama kimoja 20 vyama vingi.. p.t.o
Nimependa paragraph ya kwanza inavyokumbushia jinsi utawala wa Mchonga ulivyoingiza tabia za kihuni, kishenzi, na kimabavu za kutunga taratibu zilizo nje ya sheria na katiba. Sungusungu walinyanyasa sana watu.
Kwahiyo Wabunge wa CCM wameacha kujadili Marekebisho wanajadili CHADEMA na LIsu kama the last time?esther amos bulaya anasema;
nampongeza tundu lissu kwa hotuba yake nzuri.
hii imeonyesha rais ndo kimbilio la kila mtu. na hii aliisema hapa na leo limedhihilika. mimi nilikuwa nawammbia solution sio kutoka nje bali kuyaongelea hapa kama tunavyo fanywa hapa. Kwanza naunga mkono hoja.
serikali itoe ufafanuzi wa kutosha kuhusu hii ya elimu kwa umma itafanyikaje. je kwa radio, tv au mihadhara? kuna wengine wataenda kufanya mikutano ya hadhara wakisema ni elimu kwa uma, natoa angalizo. by bulaya.
kwa kweli kuhusu Mkuu wa wilaya kumuondoa inaonekana serikali na Chadema hawakujipanga, kiukweli umuhimu wake upo na ni mkubwa
Tangu lini mkuu wewe ukajitenga na harufu ya shilingi??Usisingizie ameponda, amesema amesikitishwa!. Mhe. Chenge anasingiziwa sana kama ni tule tujisenti, japo wengi wanadhani ni hela nyingi, ila kuikweli tule ni tujisenti tuu, mgeona kiasi cha wenye fedha kule Credit Sussie, ndipo mngejua tule twa Chenge ni tujisenti tuu!.
hakutakiwi mbegu yyt ya kijani au njano kujipenyeza kwenye mchakato huukwa kweli kuhusu Mkuu wa wilaya kumuondoa inaonekana serikali na Chadema hawakujipanga, kiukweli umuhimu wake upo na ni mkubwa
Mimi huwa sielewi CHADEMA wamewafanya nini nyie vichenchede!!!!!huyu Machali baada ya kumsikiliza nimegundua kumbe chadema hawana wabunge walioiva, mbunge anazungumza kama yuko kwenye kikao cha wanachadema wakizungumza kishabiki, badala ya hoja, kashikilia uasi kutokubaliana na mapendekezo ya serikali.bunge si muhuri wa serikali wao wamepelekewa mswaada waujadili na waangalie kama kuna la kuzidisha wazidishe la kuondoa waondoe hio ndio kazi ya bunge. sasa kushinikiza wakubali kama ilivyo. ina maana gani kujadili? huyu jamaa bure kabisa. alau kidogo Mzee Arif ameongea kilogic unaweza kuhisi nn anakusudia kuzungumza
Nanukuu
" Wakuu wa wilaya tuliwatoa kwenye mchakato kwa sababu wanaonekana kwenye katiba ya ccm toleo la 2010 kifungu cha 80.1c na 78.1c. hatutaki watu waje waseme hii katiba ni ya watu wa aina fulani. by Arfi "
Mwisho wa kunukuu
Hatimaye mapendekezo ya kambi ya upinzani kuhusu katiba mpya yapokelewa kwa makofi na kuondoa aibu wamesema ni maoni ya serikali duh kweli hatuna serikali kabisa.